Ambacho Happiness Magese hakisemi kuhusu tatizo lake la uzazi

Amesema wadada wanakubali utoaji mimba ndio sababu kubwa ya kuharibika kwa mimba! Wewe unatafsiri vp kauli yake? Amekataa kusema moja kwa moja ni indirect statement, kwahiyo alichokuwa anachokizungumzia muathirika ni uongo kwa maana nyingine! Mnataka atoe sababu ambayo ipo kwenye vichwa vyenu.

Mkuu, hao wadada hawakuelezea hata kidogo swala la utoaji mimba, ndo swali langu, kwani kama najua alikuwa na historia ya kutoa mimba nini kinanifanya nishindwe kusema? alafu wapi nimesema amedanganya?
 
Nitoke kwenda wapi Matola, point yangu ni kwamba kwa nini hawakuzungumzia madhara ya utoaji mimba kwenye kizazi mwanzo mpaka mwisho wa kipindi? au kuuliza hivyo ni kusema kwa nini hakusema alitoa mimba huko nyuma? Ni nimeuliza kama ni bahati mbaya au makusudi? au wewe hujui kama hiyo ni moja ya sababu kubwa sana?

so unataka tuache kuhoji ili dada zetu waendelee kutoa mimba huku monitor development za huo ugonjwa?

Naona Kama unajichanganya mkuu! Kipindi kilikuwa sio cha kuzungumzia madhara ya utoaji mimba, alikuwa anazungumzia maradhi yake na kujaribu kuelimisha wanawake wengine, unaposema kwann hakusema alitoa mimba?

Unathibitisha kauli yangu mada yako ulishakuwa na msimamo wako kwamba tatizo lake lilisababishwa na utoaji mimba kitu ambacho ulikataa hukusema! Sasa nikuulize hiyo mimba aliotoa ilikuwa ya kwako?!!
 
Tatizo Hilo Lina complications nyingi sana mkuu, hizo sababu zote alizotoa zinasabishwa na Hilo tatizo, Hebu jisomee mwenyewe mkuu, unakataa hukusema alitoa mimba ila indirectly umetoa sababu kwamba utoaji mimba ni moja ya sababu kubwa ya uharibifu wa mimba.

Ningesema utoaji mimba ndio sababu pekee ya kuharibika kwa kizazi ni sawa kunichukulia nimesema na yeye alitoa mimba, point yangu ni kwamba wadada wengi wenye matatizo ya uzazi kwa kiwango kikubwa matatizo hayo yamesababishwa na utoaji mimba.
 
Mkuu, hao wadada hawakuelezea hata kidogo swala la utoaji mimba, ndo swali langu, kwani kama najua alikuwa na historia ya kutoa mimba nini kinanifanya nishindwe kusema? alafu wapi nimesema amedanganya?

Kwann unalazimisha wazungumzie kitu kilichokuwa nje ya topic mkuu? Usiseme Kama unajua alikuwa anatoa mimba ni bora useme unajua alikuwa anatoa mimba! Kitu ambacho umekata hukusema lakini unalazimisha wakizungumzie!! Kuna sababu nyingi za kuharibika kwa mimba lakini hizo zote hazina uhusiano na tatizo lake, sasa unataka wakizungumzie kivipi?!
 
Pale hawakuwa wakizungumzia tatizo lake, walikuwa wanazungumzia tatizo hilo kwa wanawake kwa ujumla, point yangu ni kwamba walilizungumzia kwa namna inayoweza kuaminisha watu kwamba ni tatizo kama lake pekee ndio linaweza kusababisha mwanamke asipate mtoto?

Kwa mfano, wakati alisema amekwisha pata mimba mara kadhaa na zikawa zinaharibika hakusema kwamba na hilo ni matokeo ya tatizo hilo.

Na pia, wakati alisema amefanya operations nyingi za kizazi, hakusema kama hizo operations zote zilikuwa ni jitihada za kukabiliana na ugonjwa huo.

Lakini, wakati alisema ugonjwa huo ulijurikana baada ya hizo operations zote, hakusema huko nyuma walikuwa wanafanya operations kutatua sababu zipi?
 
Ningesema utoaji mimba ndio sababu pekee ya kuharibika kwa kizazi ni sawa kunichukulia nimesema na yeye alitoa mimba, point yangu ni kwamba wadada wengi wenye matatizo ya uzazi kwa kiwango kikubwa matatizo hayo yamesababishwa na utoaji mimba.

Eti kwa kiwango kikubwa....any data/figures to validate this??
 
Pale hawakuwa wakizungumzia tatizo lake, walikuwa wanazungumzia tatizo hilo kwa wanawake kwa ujumla, point yangu ni kwamba walilizungumzia kwa namna inayoweza kuaminisha watu kwamba ni tatizo kama lake pekee ndio linaweza kusababisha mwanamke asipate mtoto?

Kwa mfano, wakati alisema amekwisha pata mimba mara kadhaa na zikawa zinaharibika hakusema kwamba na hilo ni matokeo ya tatizo hilo.

Na pia, wakati alisema amefanya operations nyingi za kizazi, hakusema kama hizo operations zote zilikuwa ni jitihada za kukabiliana na ugonjwa huo.

Lakini, wakati alisema ugonjwa huo ulijurikana baada ya hizo operations zote, hakusema huko nyuma walikuwa wanafanya operations kutatua sababu zipi?

Nimegundua tatizo lako lipo wapi mkuu, ulitaka kipindi kizungumzie kwa upana tatizo lake pamoja na matatizo mengine yanayosababisha kuharibika kwa mimba na hiyo inategemea na muendesha kipindi uwezo wake wa kuhoji/kuuliza maswali vinginevyo Mimi sioni tatizo kwa kujikita ktk tatizo Hilo linalomsumbua.
 
Inawezekana.

Lakini, katikati ya mjadala, baaada ya Mtangazaji kusema vidonge vya kuzuia vina madhara, na kumuuliza Happy kama haoni kwamba kuwaambia mabinti watumie vidonge hivyo wakati wakiwa nje ya ndoa kama ni kwenda kinyume cha mira na desturi zetu?

Happy alipotezea... zaidi akasisitiza kwamba, hakuna kitu ambacho hakina madhara, akaeleza kwamba hata condom zinamadhara, na akasisitiza kwamba vidonge vya kuzuia mimba vinapunguza uwezekano wa kupata ugonjwa huo.

Sasa sijui mimba ndio zinasababisha pia au la? sababu ni kwanini vidonge vya kuzuia mimba viwe ni kinga?
 
Siwezi kuthibitisha Kama vidonge vya kuzuia mimba vinaweza kuzuia Hilo tatizo unless nifanye research ya kusoma zaidi ila kumbuka yeye ndiye muhanga wa hayo maradhi na ameshazunguka kwa wataalamu wengi kwahiyo kuna vitu vingi anajua ambavyo Mimi na wewe hatujui pengine na madaktari wengine hawajui wala haishangazi!

Kuna vitu vingine muendeshaji wa kipindi lazima atumie akili sio kila kitu ni cha kuuliza tu! Utaacha kuelimisha watu matumizi ya vidonge vya uzazi na matumizi ya condom wakati unajua watu wanafanya ngono sana tu! Sasa unakuwa unasaidia jamii kivipi?

Madhara ya kutotumia condom na vidonge vya kuzuia mimba ni makubwa sana kwa jamii kila mtu anajua na hakuna ubishi anachosema hakuna kitu kisichokuwa hakina madhara inategemea mtu na mtu, kuhoji au kuendesha kipindi inahitaji busara na hekima sana mkuu.
 
unamaanisha nini?
 
Hakuna mahali mimba zinatolewa km Europe mpaka pro life wanaandamana na vizazi haviharibiki wala nini,huko bongo labda ukimeet doctor ambayr ni unprofessional. ...kutoa mimba hakuharibu kizazi period!
 
Una maanisha nn kwamba the so called "shangazi Cecilia" alikua akimuuza HM? Just open up! Ama alikua shangingi kurumbembe like Dida wa Mchops? Is it?

Mkuu shangazi yangu ni shost yake H.M anaitwa Cecilia jina la nyumbani lakini ana jina lake la shule, sikutajii ng'o kwani wengi marafiki zake shangazi yangu hawamjui kama anaitwa Cecilia. Sitakutafunia kila kitu mkuu, H.M huwa anawaasa mabinti wanaopenda short cut.
 
Hiyo pia inaweza ikawa sababu hayo Maradhi kumzuia kuzaa lakini pia kuna sababu nyingi zinazoleta ugumba kwa wanawake msisahau maradhi ya zinaa pia yanaleta ugumba hata mimi sijashauri mabinti wadogo kutumia vidonge nakumbuka pia niliambiwa vidonge vinaleta fibroid

sasa tutazuia maumivu je madhara yake kama ni makubwa si bora ya hayo maumivu haya mambo tunayo sasa hivi watu wanatumia mikorogo hawajui pia inaathiri mambo mengi wazeewetu walizaa bila matatizo wagumba walikuwa wachache sana pia kuanzia shughuli za utu uzima ukiwa na umri mdogo husukuma kizazi
 
Mkuu shangazi yangu ni shost yake H.M anaitwa Cecilia jina la nyumbani lakini ana jina lake la shule, sikutajii ng'o kwani wengi marafiki zake shangazi yangu hawamjui kama anaitwa Cecilia. Sitakutafunia kila kitu mkuu, H.M huwa anawaasa mabinti wanaopenda short cut.

Unataka kusema yeye alikuwa anapenda short cut mkuu? Au ni dhambi kuwaasa mabinti wanaopenda short cut? Maana baadhi Yao ni tabia zao.
 
Siyo dhambi mkuu, ka experience na ndiyo maana anawaasa kwa hisia mno hao ma binti wa leo wanavyopenda short cut
 
Back
Top Bottom