Ambangile: Inonga ndio beki bora wa kweli na halali

Ukweli wa wazi kabisa.
20230611_171407.jpg
 
Mi sishangai

Hata Gongowazi nao wanaujua ukweli.

Mzamiru hajapata tuzo yeyote wakati Gongowazi wenyewe humu walikuwa wanajifanya wanamponda juwa hajui.

Lakini ile siku Taifa stars tunacheza na Uganda tuliwaona reaction zao wakati kocha anamtoa nje Mzamiru.

Wote wakaanza kushangaa kuwa huyu Kocha vipi, anamtoaje nje Mzamiru.
 
Kwahiyo mzamiru apewe tuzo ya beki Bora🙄, huyo mzamiru amefanya nini mpaka awe bora?, Kiungo bora sio miguvu ni ubunifu na unyumbulifu +maarifa mengi mguuni. Kama Nbc ingetoa tuzo ya Kiungo bora aina ya mzamiru wangedharaulika daima....

Yaani umnyime Bruno, Chama,Akaminko, Aucho na Saido umpe Punda🤣🤣🤣 upuiuzi kabisa...
 
Mi sishangai

Hata Gongowazi nao wanaujua ukweli.

Mzamiru hajapata tuzo yeyote wakati Gongowazi wenyewe humu walikuwa wanajifanya wanamponda juwa hajui.

Lakini ile siku Taifa stars tunacheza na Uganda tuliwaona reaction zao wakati kocha anamtoa nje Mzamiru.

Wote wakaanza kushangaa kuwa huyu Kocha vipi, anamtoaje nje Mzamiru.
Unalia nini sasa
 
Huyu jamaa Kaz kuwasifiaa wageni tu mjinga Kweli kwsni job na m.hussen wanashida gani
 
Back
Top Bottom