OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kubwa...Huyo Ambangile ni nani? Anatoa maoni kama yoyote anayeweza kusema Sawadogo ni kiungo bora
Kwahiyo mzamiru apewe tuzo ya beki Bora🙄, huyo mzamiru amefanya nini mpaka awe bora?, Kiungo bora sio miguvu ni ubunifu na unyumbulifu +maarifa mengi mguuni. Kama Nbc ingetoa tuzo ya Kiungo bora aina ya mzamiru wangedharaulika daima....Mi sishangai
Hata Gongowazi nao wanaujua ukweli.
Mzamiru hajapata tuzo yeyote wakati Gongowazi wenyewe humu walikuwa wanajifanya wanamponda juwa hajui.
Lakini ile siku Taifa stars tunacheza na Uganda tuliwaona reaction zao wakati kocha anamtoa nje Mzamiru.
Wote wakaanza kushangaa kuwa huyu Kocha vipi, anamtoaje nje Mzamiru.
Unalia nini sasaMi sishangai

Mwambie Ambangile ampe tuzo basiKama Ambangile ameshasema mimi ni nani nibishe
Dah!!!!Mimi ni Simba na Yanga...wote wapewe