Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha husda na heshimu kazi za watuJama anajionaga bonge la mwerevu hkn kitu pale washukuru daimond kawapatia kijiwe Cha Kuja kuzuga asbh na jioni
Hata mpira hajawi kugusa dah bongo noma San kila mtu mchambuzi mm huwa siwazikilizi kbsa
Kaz amezomea wapi hyo chuo kinachofundisha uchambuz ni ipi dunianiAcha husda na heshimu kazi za watu
Kama ulikua hujui huyo ambangile ana leseni ya ukocha..Kaz amezomea wapi hyo chuo kinachofundisha uchambuz ni ipi duniani
Aache ujuwaji jama yule
Uchambuzi ni kama uandishi wa habari. Mwandishi anaemuhoji msanii haina maana ya kwamba na yeye anaweza kuimbaHivi wadau naomba kuuliza, Hawa wachambuzi wakipewa Timu wasimamie au wawe makocha wataweza hiyo kazi au??
Maana huwa naona wanaongea kwa ufanisi mkubwa sana.
Na pia hawa akina ambangile wamewahi kucheza mpira wapi?? Maana naona wapo vizuri sana
Hivi wadau naomba kuuliza, Hawa wachambuzi wakipewa Timu wasimamie au wawe makocha wataweza hiyo kazi au??
Maana huwa naona wanaongea kwa ufanisi mkubwa sana.
Na pia hawa akina ambangile wamewahi kucheza mpira wapi?? Maana naona wapo vizuri sana
Mimi naona ndio bora kwa sasa tanzaniaTuseme tu ukweli, George Ambangile ni bonge la "mchambuzi" kuliko hata Shaffii Dauda, Edo Kumwembe na wengine wote.
Ambangile anawazidi sana wachambuzi wengi wa hapa Bongo.
Atapisha baada ya kipigo kwa mnyama na unbeten 100Nabi uwezo umeisha apishe nafasi
Uko sahihi kabisa!Mimi naona ndio bora kwa sasa tanzania
Since 1998 mabwege wa AfricaAmbagile acha nawew kuleta unyakyusa wako hapa kila kitu unaachambua. Kmchambulie mkeo maharage mbimbi wew
Kukaa SANA kanisani hakumgeuzi mtu kuwa padri.Hivi wadau naomba kuuliza, Hawa wachambuzi wakipewa Timu wasimamie au wawe makocha wataweza hiyo kazi au??
Maana huwa naona wanaongea kwa ufanisi mkubwa sana.
Na pia hawa akina ambangile wamewahi kucheza mpira wapi?? Maana naona wapo vizuri sana
Ha haha , nkete Kumaso kufwana ngwina.Ambagile acha nawew kuleta unyakyusa wako hapa kila kitu unaachambua. Kmchambulie mkeo maharage mbimbi wew
Mlijua mnacheza na mtibwa?Yanga hata hatujui tatizo ni nini? Wachezaji wanapewa kila kitu wapumbavu wale alafu wanacheza kama wamelazimishwa.
Kiukweli kocha Nabi amemfikia mwisho wa maarifa yake.
Watakwambia kwani simba anamafanikio gani kimataifaMalengo ya Yanga na Azam ni kuifunga Simba tu, zaidi ya hapo wanabaki kuwa mwenge unaoangaza ndani ya mipaka ya Tanzania pekee huku mwanga wake ukishindwa kuvuka japo mpaka wa Burundi kusini.
Sasa kwann asiwe kocha kama ana leseniKama ulikua hujui huyo ambangile ana leseni ya ukocha..
Inashangaza sana alfu nakutoa opinion za kwake yeyMechi tumeangalia wte dakika 90 alafu mtu analeta et uchambuzi, bro uchambuzi wa nin tena [emoji23]
Inashangaza sana jamaa wanachambua mno ila ukiwapa katimu hawachomokiHivi wadau naomba kuuliza, Hawa wachambuzi wakipewa Timu wasimamie au wawe makocha wataweza hiyo kazi au??
Maana huwa naona wanaongea kwa ufanisi mkubwa sana.
Na pia hawa akina ambangile wamewahi kucheza mpira wapi?? Maana naona wapo vizuri sana