Ambangile: Yanga ni kama vile walishtukizwa kwamba leo kuna mechi

Hivi wadau naomba kuuliza, Hawa wachambuzi wakipewa Timu wasimamie au wawe makocha wataweza hiyo kazi au??

Maana huwa naona wanaongea kwa ufanisi mkubwa sana.

Na pia hawa akina ambangile wamewahi kucheza mpira wapi?? Maana naona wapo vizuri sana
 
Uchambuzi ni kama uandishi wa habari. Mwandishi anaemuhoji msanii haina maana ya kwamba na yeye anaweza kuimba
 
Hivi wadau naomba kuuliza, Hawa wachambuzi wakipewa Timu wasimamie au wawe makocha wataweza hiyo kazi au??

Maana huwa naona wanaongea kwa ufanisi mkubwa sana.

Na pia hawa akina ambangile wamewahi kucheza mpira wapi?? Maana naona wapo vizuri sana

Hao maneno tu,kufundisha mpira sio porojo,gary Neville alishawahi kupewa Valencia,walimtimua hakuvuka mwezi .

Kuongea rahisi sana.wanachambua hata leseni za ukocha hawana.hao ni waongeaji tu.
 
Mechi tumeangalia wte dakika 90 alafu mtu analeta et uchambuzi, bro uchambuzi wa nin tena 😂
 
Hivi wadau naomba kuuliza, Hawa wachambuzi wakipewa Timu wasimamie au wawe makocha wataweza hiyo kazi au??

Maana huwa naona wanaongea kwa ufanisi mkubwa sana.

Na pia hawa akina ambangile wamewahi kucheza mpira wapi?? Maana naona wapo vizuri sana
Kukaa SANA kanisani hakumgeuzi mtu kuwa padri.
 
Yanga hata hatujui tatizo ni nini? Wachezaji wanapewa kila kitu wapumbavu wale alafu wanacheza kama wamelazimishwa.
Kiukweli kocha Nabi amemfikia mwisho wa maarifa yake.
Mlijua mnacheza na mtibwa?
 
Malengo ya Yanga na Azam ni kuifunga Simba tu, zaidi ya hapo wanabaki kuwa mwenge unaoangaza ndani ya mipaka ya Tanzania pekee huku mwanga wake ukishindwa kuvuka japo mpaka wa Burundi kusini.
Watakwambia kwani simba anamafanikio gani kimataifa
 
Hivi wadau naomba kuuliza, Hawa wachambuzi wakipewa Timu wasimamie au wawe makocha wataweza hiyo kazi au??

Maana huwa naona wanaongea kwa ufanisi mkubwa sana.

Na pia hawa akina ambangile wamewahi kucheza mpira wapi?? Maana naona wapo vizuri sana
Inashangaza sana jamaa wanachambua mno ila ukiwapa katimu hawachomoki
 
Back
Top Bottom