Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaahahaha Simba Oyeeeeewanakuwaga hivihivi wabishi kweli..🤣
Hebu niambie kwanini nilivyokuona ndo nikakumis
Matapu tapu huninyweshi mkuu!!
ukija kurudi wewe tutaisoma! nyie ndo mnalalaga mitaloni!Ni miez sita now situmii kilevi chochote,,,, sijaacha lakini naona nipumzike hata two years! Juzi sikukuu za krismass na mwaka mpya niliweza kukwepa kampan za kwenda kulewa,,,, ! Na nimeacha tu kibishi sijawaambia wana wala nini, huwa nakwepa kwepa zile outing za weekend, ama nikiwa nao nakunywa maji nazuga sijisikii poa,,,,, !
Inamaanisha unapaswa kuniona zaidi Jo, i guess...
Washitaki wanakuuzia bia zilizo expire..watekaji wengi sikuhizi hatutoi location!
Sijawahi kulewa kiasi hicho, na sitokuja kulewa hivyo! Unatakiwa uikontroo pombe, sio pombe ikukontroo !ukija kurudi wewe tutaisoma! nyie ndo mnalalaga mitaloni!
Anakunywa chui akilewa anatembea kama fisiNa hiko kichwa umeanza kunywa pombe?
Tafuta ela tujue tabia yako.Ni miez sita now situmii kilevi chochote,,,, sijaacha lakini naona nipumzike hata two years! Juzi sikukuu za krismass na mwaka mpya niliweza kukwepa kampan za kwenda kulewa,,,, ! Na nimeacha tu kibishi sijawaambia wana wala nini, huwa nakwepa kwepa zile outing za weekend, ama nikiwa nao nakunywa maji nazuga sijisikii poa,,,,, !