Ambao hamtumii hii kitu mtachelewa sana kufika kaanani!

Ni miez sita now situmii kilevi chochote,,,, sijaacha lakini naona nipumzike hata two years! Juzi sikukuu za krismass na mwaka mpya niliweza kukwepa kampan za kwenda kulewa,,,, ! Na nimeacha tu kibishi sijawaambia wana wala nini, huwa nakwepa kwepa zile outing za weekend, ama nikiwa nao nakunywa maji nazuga sijisikii poa,,,,, !
 
ukija kurudi wewe tutaisoma! nyie ndo mnalalaga mitaloni!
 
tangu uzaliwe na mama yako mwanamke...umeona hiyo kitu ukiitumia ndio ujanja?...yaani hapa duniani ukinywa hiyo kitu unakuwa mjanja?. Sema una msongo wa mawazo na unasumbuliwa na vitu vingi sana. Pole ila ndio maisha 😀
 
Chupa moja Masaa nane. Unakunywa Kama nyoka anatoa ulimi.
Bia ya Mchongo.
 
Tafuta ela tujue tabia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…