Hali ya nani?Sijui hata nisemeje, maana hali inazidi kuwa mbaya🤣
Anajijua!Hali ya nani?
Ndio unakurupuka sahizi baada ya kulewa bia moja 😂jinga sana wewe
Bia ni moja tu nchi nzima. Safari Lager.
Aa wapi mimi serengeti huwa namix na nyagi kabisa alafu freshhizo tatu tu unaanza kutembelea shingo!