Siangalii sababu nafahamu hatuta shinda hiyo mechi!Tuwe tunakutana siku zote za mechi kali Tudiscuss mambo mengine tofauti na mpira,Sio lazima wote tuwe mashabiki au mnaonaje jamani....We kama Shabiki wa mpira huu Uzi upite ukiwa umesimama!!!
Hapo ndo napasubiria ila mada ingekita sana kwenye uchumi kuliko siasaWeka mada tujadili...
Kuangalia movies [emoji440]We Starehe yako nn?
Movie gani sasa hivi zinatrendKuangalia movies [emoji440]
Your so active!Weka mada tujadili...
Tafuta site za kuangalia Kama hi Private Garden | MovieBoxProHivi YouTube naweza pata movie kali ambayo ni current
Ivi starehe ndio hobby?MADA;Ambao hatushangilii mpira Tutaulizwa starehe yetu ni nini? Embu Tuwape majibu wasitufatilie....
Kwanini nchi za magharibi zinamsaidia Ukraine?Wekeni mada bhasi
Yes maana hobby ni kitu unachopendelea kufanya na kinakupa raha mf.mtu mwenye hobby ya kuogelea hiyo ndo starehe yake au anayependa kucheza video games hiyo ni starehe kwakeIvi starehe ndio hobby?
Hii ishu ngumu..Kwanini nchi za magharibi zinamsaidia Ukraine?