Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
usiforce tufanane wewe kama umefanya tupo ambao hatujafanyaKama wote tukiwa wasema ukweli, basi huu uzi hautapata member hata mmoja. Kuna watu wapenzi wao wako nje ya nchi toka mwaka jana ila tayari washavunja na michepuko.
Umri wangu ww wa nini,em nitajie ayo magonjwa yanayobagua umri..Acha uzembe!
Unaumri gani kwanza
Ugumu upo kwenye hisiaKwanini isiwezekane,kwani ugumu upo wapi
Nimesoma mkuuHajasoma kichwa cha habari tukutane ambao hatujafanya Mapenzi sasa analeta stori zake haiwezekani dah
Unastahili pongezi mkuu..Tangu mke wangu aende nyumbani kwao kujifungua, sijafikiria kabisa kuhusu kufanya mapenzi tofauti na mke wangu.Nilichojifunza ni kuwa 'busy' na kazi zangu binafsi, naingia kazini saa moja asubuhi natoka saa nne usiku, nafika nyumbani nimechoka naoga na kulala. Saa ngapi nitafikiria mapenzi, sina 'stress' mie.
Jalibu kujikeep busy,fanya mazoez,acha kuwaza ngono mda wote,hisia utazshindaUgumu upo kwenye hisia
Nimesoma mkuu
Labda kama ulifanya operation ya kuziba kifanyio mwaka jana. Tena kama wewe unaweza kukuta sa hivi upo half time ndo unacoment.usiforce tufanane wewe kama umefanya tupo ambao hatujafanya
Mkuu kwangu Ni muendelezo.. wala sijaanza juziUna siku kum tu unahis umevunja record kaa mpka mwezi wa sita ndio uongee
wewe kama umefanya subiria uzi wa waliofanya ngono 2017 usilazimishe tufanane mkuuLabda kama ulifanya operation ya kuziba kifanyio mwaka jana. Tena kama wewe unaweza kukuta sa hivi upo half time ndo unacoment.
Hehehe,unastahili pongezi mkuutupo tupo ila tungeanzia 2016 at least
Kumbe nilitakiwa nifanyajeKwnza hata kuipa attention hadi kuifungulia uzi hukutakiwa.
Fanya maamuzi mkuu, Rekod za Ummy Mwalimu ni za kutishaNimefanya Leo tu.ila ndo ya mwisho.inawezekana
4-Muombe Mungu akusaidieThe trick is...
1- Fanya mazoezi
2-sikiliza mziki
3- Rudia hatua namba moja
Mkuu hakuna ambaye hajafanya, hata mashoga nahisi wote washafanyawewe kama umefanya subiria uzi wa waliofanya ngono 2017 usilazimishe tufanane mkuu