Ambao hatujafanya mapenzi mwaka2017 tukutane hapa..

Ambao hatujafanya mapenzi mwaka2017 tukutane hapa..

Joanah hujakosea kabisa. Kama unae mtu ambaye mnapendana kwa kila namna then sioni sababu ya kusema "2017 bila sex inawezekana"
 
Tangu mke wangu aende nyumbani kwao kujifungua, sijafikiria kabisa kuhusu kufanya mapenzi tofauti na mke wangu.Nilichojifunza ni kuwa 'busy' na kazi zangu binafsi, naingia kazini saa moja asubuhi natoka saa nne usiku, nafika nyumbani nimechoka naoga na kulala. Saa ngapi nitafikiria mapenzi, sina 'stress' mie.
Unastahili pongezi mkuu..
 
Una siku kum tu unahis umevunja record kaa mpka mwezi wa sita ndio uongee
 
Hurrreeeeeeeeee,,,,tumefanikisha,,,tumewezaaaaaaaa,,,,,tumake hela zetu ,,l!!!!
 
Back
Top Bottom