BujibujiHivi wakoma waliokatika vidole vya mikono na miguu ndio wamepoteza haki ya kuwa na simu? Au ni utaratibu gani unatumiwa kuwasajili?
Wazifunge tu! Wajinga wakubwa!
Kwanini wasiruhusu vitambulisho vya kura vitumike?
Kuna nini cha mno sana kwenye vitambulisho vya taifa?
Zikiwa zimelala au zikiwa zimesimama?Bujibuji
Kwa wanaume haina shida. Watumia sehemu zao nyeti kujisajilia.
Shida ni kwa wamama zetu
Naomba link ya Website yao nijaribujana nmeingia website ya nida nkakuta wamejiongeza kwani unaweza jaza details zako wakakuletea namba yako, sasa tangu jana mpk leo sijaona wale wanaosajili mitaani wakipita tena wakati kabla sijapata namba kila siku walikua wanapita, mi nasubiri wapite ndo nisajili sitaki kupoteza nauli kwenda kwe maduka yao
Akikupa naomba unitagNaomba link ya Website yao nijaribu