Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna vyote, sasa hiyo simu unashikaje unavyo wasiliana na watu?Hivi wakoma waliokatika vidole vya mikono na miguu ndio wamepoteza haki ya kuwa na simu? Au ni utaratibu gani unatumiwa kuwasajili?
Asilimia kubwa ya watanzania hawana vyeti vya kuzaliwa, na cheti cha kuzaliwa hakitolewi bure ukitathimini hapo utaona kuna plan ya upigaji kama ile ya vitambulisho vya mjasiliamaliWazifunge tu! Wajinga wakubwa!
Kwanini wasiruhusu vitambulisho vya kura vitumike?
Kuna nini cha mno sana kwenye vitambulisho vya taifa?
Mimi sijasajili makusudi tu.
Hao wanawake hawana nyeti?Bujibuji
Kwa wanaume haina shida. Watumia sehemu zao nyeti kujisajilia.
Shida ni kwa wamama zetu
Watu wengi maeneo ya GEITA, CHATO, MAGU watu wana sagamba za mikononi , wakiweka vidole kwenye mashine haisomi, tunaomba watu hawa wafikiriwe, wadau toeni ushauri hawa wasukuma waweke kitu gani badala ya kidole?Heshima zenu wakuu,
Ni kama juzi tu ila siku zimeyoyoma, ilikuwa mwezi Juni kama sijasahau ikawa agizo la kukamilisha usajili ni hadi Disemba 31 mwaka huu watu wewee utasema tumeshinda bingo.
Siku hazigandi na sasa spidi imeongezeka, na kadri siku zinavyosonga naona ‘vitisho’ vinazidi. Hivi ni kweli hawa jamaa wako ‘siriazi’ au tusubiri kuona watatufanya nini?
Onyo: Laini yako itafungwa baada ya 31/12/2019 ikiwa haikusajiliwa kwa alama za vidole. Tembelea duka la Tigo au wakala ukiwa na namba ya nida au kitambulisho.
Na wengine mnaopata ujumbe kama huu, sababu ipi imekukwamisha au jeuri?

HahahahKWA WENYE MADENI TIMIZA, NAWAONA NAWAONA MLIVYO WAGUMU KUSAJILI. MNATAKA LINE ZENU ZIFUGWE, WAFUNGE NA MADENI YAKO.
KWA MFANO MIMI WANANIDAI LAKI NNE, WAFUNGE TU KWA KWELI LINE YAO
Bujibuji
Kwa wanaume haina shida. Watumia sehemu zao nyeti kujisajilia.
Shida ni kwa wamama zetu
Watu wengi maeneo ya GEITA, CHATO, MAGU watu wana sagamba za mikononi , wakiweka vidole kwenye mashine haisomi, tunaomba watu hawa wafikiriwe, wadau toeni ushauri hawa wasukuma waweke kitu gani badala ya kidole?
Mimi ni mtu wa kwanza kujitangaza hadharani kuwa laini yangu itafungwa.
Simu ni mfilisi mkubwa wa pesa zangu. Nataka niishi kama watu wa zamani
Hapa unaweza kudadavuwa kidogo..?