Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Jaji mfawidhi , liko wapi Hilo unaloliita pendekezo la Bujibuji? Naona umem quote kwamtoro Kisha unaanza kusema ni pendekezo langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mbo ina zile alama mkuu,wanaweza weka pale kwny mashine bila shida zikasoma fresh tu.Watu wengi maeneo ya GEITA, CHATO, MAGU watu wana sagamba za mikononi , wakiweka vidole kwenye mashine haisomi, tunaomba watu hawa wafikiriwe, wadau toeni ushauri hawa wasukuma waweke kitu gani badala ya kidole?
Tutatumia chuchu🙈🙈🙈🙈😄😄Bujibuji
Kwa wanaume haina shida. Watumia sehemu zao nyeti kujisajilia.
Shida ni kwa wamama zetu
Jumatatu next weeksawa, unatarajia kwenda lini kulingana na ratiba zako hadi kufikia hiyo Dec 31?
Ikinaa waree! BokwaaTutatumia chuchu🙈🙈🙈🙈😄😄