Ambao hatujasajili ‘laini’ kwa alama za vidole tukutane hapa, tatizo ni lipi au tunachukuliaje hili zoezi?

Acha tu waipige pin, vikwazo kibao utafikiri unafatilia passport bana
 
Hivi wakoma waliokatika vidole vya mikono na miguu ndio wamepoteza haki ya kuwa na simu? Au ni utaratibu gani unatumiwa kuwasajili?
huna vyote, sasa hiyo simu unashikaje unavyo wasiliana na watu?
 
Wazifunge tu! Wajinga wakubwa!

Kwanini wasiruhusu vitambulisho vya kura vitumike?

Kuna nini cha mno sana kwenye vitambulisho vya taifa?
Asilimia kubwa ya watanzania hawana vyeti vya kuzaliwa, na cheti cha kuzaliwa hakitolewi bure ukitathimini hapo utaona kuna plan ya upigaji kama ile ya vitambulisho vya mjasiliamali
 
Labda sheria itaanza rasmi tarehe 31 disember,si unajua sheria za siku hizi zinakuwa kwa jambo maalumu mfano ile ya kuomba msamaha mafisadi,mda ukiisha na sheria imeishia hapo,

kinachoogopesha hawa wasajili wa mtaani ukienda na namba kusajili ukiweka dole kwenye mashine,anabovya then anakuambia weka tena,waweza rudia hata mara tano eti system haimarch,
wengine wanadai hawa jamaa wanasajili line za pembeni kwa kutumia dole gumba la mtu mwingine ili wauze line na hii kama ni kweli ni hatari
 
KWA WENYE MADENI TIMIZA, NAWAONA NAWAONA MLIVYO WAGUMU KUSAJILI. MNATAKA LINE ZENU ZIFUGWE, WAFUNGE NA MADENI YAKO.
KWA MFANO MIMI WANANIDAI LAKI NNE, WAFUNGE TU KWA KWELI LINE YAO

[emoji16][emoji16][emoji851][emoji848]
 
Kuna mwaka tulitishiwa eti simu feki zitazimwa, June 30 2016.... mrejesho ulikuwaje..?
 
Watu wengi maeneo ya GEITA, CHATO, MAGU watu wana sagamba za mikononi , wakiweka vidole kwenye mashine haisomi, tunaomba watu hawa wafikiriwe, wadau toeni ushauri hawa wasukuma waweke kitu gani badala ya kidole?
 
Watu wengi maeneo ya GEITA, CHATO, MAGU watu wana sagamba za mikononi , wakiweka vidole kwenye mashine haisomi, tunaomba watu hawa wafikiriwe, wadau toeni ushauri hawa wasukuma waweke kitu gani badala ya kidole?
 
KWA WENYE MADENI TIMIZA, NAWAONA NAWAONA MLIVYO WAGUMU KUSAJILI. MNATAKA LINE ZENU ZIFUGWE, WAFUNGE NA MADENI YAKO.
KWA MFANO MIMI WANANIDAI LAKI NNE, WAFUNGE TU KWA KWELI LINE YAO
Hahahah
 
Bujibuji
Kwa wanaume haina shida. Watumia sehemu zao nyeti kujisajilia.
Shida ni kwa wamama zetu

Watu wengi maeneo ya GEITA, CHATO, MAGU watu wana sagamba za mikononi , wakiweka vidole kwenye mashine haisomi, tunaomba watu hawa wafikiriwe, wadau toeni ushauri hawa wasukuma waweke kitu gani badala ya kidole?

Hilo hapo ni moja ya mapendekezo kutoka kwa Bujibuji, unaweza kuliboresha zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…