Ambao hatujasajili ‘laini’ kwa alama za vidole tukutane hapa, tatizo ni lipi au tunachukuliaje hili zoezi?

Watu wengi maeneo ya GEITA, CHATO, MAGU watu wana sagamba za mikononi , wakiweka vidole kwenye mashine haisomi, tunaomba watu hawa wafikiriwe, wadau toeni ushauri hawa wasukuma waweke kitu gani badala ya kidole?

Ushauri wako ni muhimu hapa mkuu Bujibuji
 
Watu wengi maeneo ya GEITA, CHATO, MAGU watu wana sagamba za mikononi , wakiweka vidole kwenye mashine haisomi, tunaomba watu hawa wafikiriwe, wadau toeni ushauri hawa wasukuma waweke kitu gani badala ya kidole?
Hata mbo ina zile alama mkuu,wanaweza weka pale kwny mashine bila shida zikasoma fresh tu.
 
Tunakumbushana, endeleeni kusajili laini zenu.... bado siku 56.
 
Mimi waifunge tu huko nida ni usumbufu mwaka na nusu sasa toka nijiandikishe sijapata kitambulisho wala namba
 
Nimekereka Sana nikae Juami Siku mbili ioi niandikishwe Kisha Leo hii eti haiuna taarifa zangu! Wamepeleka wapi? Wacha wafunge niwafungulie mashtaka NIDA. Nina evidence walibandika picha yangu ukutani kuonyesha Wana taarifa zangu. Wamekula ka buku yangu kwenye kuuliza taarifa kwa simu!

Sisajili wao wafunge na huko nida siendi tutakutana mahakamani!

Kama waliajiri vilaza shauri yao!
 
Mimi line yangu ina jina tofauti na la kwenye Kitambulisho, sijui nalitatua vp tatizo hili maana tigo wamegoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…