Ambao hatujasajili ‘laini’ kwa alama za vidole tukutane hapa, tatizo ni lipi au tunachukuliaje hili zoezi?

Bado tuna siku 4 tu, tamko bado..?
 
Mkuu nimejaribu kuingiza details imekataa kuniletea namba nimetumie text napo nimeshindwa kupata na nilishajisajili kupata kitambulisho hapo nafanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii yakusisitiza kuwa 31 wanafunga nimbwembwe tuu iliwengi wasajili sababu mpakasasa nakutana namtu anakuja nimkamilishie usajili ananiambia namba badoajapewa naameomba kitambo tusitishike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawawezi kufunga aisee. Ni zaidi ya nusu ya laini zitafungiwa.
 
Jamani eeeh, mkuu kaongeza siku 20 pekee.... inaonekana sio utani naona na yeye kasajili leo leo.

Hivi ni kweli..? [emoji848]
 
Dakika za nyongeza zinazidi kuyoyoma, kuna muda roho inanistua kuwa zitafungiwa kweli ila najifariji tu... sijui nani aingilie kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…