Ambao hatujawahi kuchanjwa chale wala kwenda kwa waganga licha ya kuishi kwenye mazingira yenye uchawi sana tukutane hapa

Pole sana mkuu ndio walimwengu walivyo hawana jema, ukifanya vizuri n kosa na ukifanya vibaya ni kosa zaidi. Ukiishi maisha Yako Kuna watu wanaumia Sana.
 
Mimi hapaaaaaa! Bujibuji! I Gin Ja Wa
Najua umeelewa code[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kutudanganya, hebu angalia hapo kichwani karibu na utosi uone kama hamna chale tatu.

Mengine yalifanywa na wazazi wetu pasi kujua.

Mengine yamefanywa na wachawi tukiwa tumelala.
Sasa hutaki au? Kama ulichanjwa chale na wachawi ni wewe, usiwajumuishe wengine. Mimi sina chale hata moja.
 
Kwa nini hamtaki kuamini kuna watu hatuujui uchawi?
 
"... kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model)."

Na imekuwa biashara kubwa isiyotozwa kodi!
 
Chale si mbaya bali ushirikina mbaya
mmoja akijikwaa kidole kikavimba au mguu kuvimba ukichanja ndipo nafuu itapatikana

So wale mnaopinga msipinge vyote
 
Moja ya mambo ambayo ninawashukuru wazazi na walezi wangu ni pamoja na hili la kuulinda mwili wangu na kunikabidhi ukiwa hauna Alama za chale. Naendeleza walipoishia.
Kumbe ulikuwaga skeleton before?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Lakini kwenye rada za akina Kisendi Nyanda Ntalima unasomeka 😁
 
Quote Repl Zamani "bhanyamanyafu" walikuwa tishio hatari sana! Siku hizi hawapo kutokana na mchanganyiko na watu tofauti pamoja na uwepo wa wacha Mungu na watu wastaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…