Ambao hatujawahi kuchanjwa chale wala kwenda kwa waganga licha ya kuishi kwenye mazingira yenye uchawi sana tukutane hapa

Watu wangu wa karibu wanataka niangamie

Aise mambo ni mengi. Chuki, kuchonganishana, wivu tena kutoka Kwa watu wa karibu. Kuna mtu wa karibu kabisa anatamani nife ili hali bado nipo kwenye nyumba za kupanga na watoto 4! Nikifikiria nilichofanya sikijui.

Niliwatendea wengi wema wananilipa majungu na masengenyo. Kabla sijaoa niliwekeza maisha yangu Kwa watu wengine. Nilivyooa majukumu yakawa mengi nikikwama kitu kidogo nasemwa mpaka basi. Kuna mwaka nilipata safari ya kwenda nje ya nchi kikazi kuna mtu niliyemtoa mbali aliumia sana. Pia wananisema vibaya ninavyoishi na watoto wangu wanne (wote wasichana). Yaani ili mradi tafrani. mambo yangu mengi yamevuruguka Kwa kukosa utulivu.
Pole sana mkuu ndio walimwengu walivyo hawana jema, ukifanya vizuri n kosa na ukifanya vibaya ni kosa zaidi. Ukiishi maisha Yako Kuna watu wanaumia Sana.
 
Swalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.

Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk

Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).

Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.

Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.

Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.

Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
Mimi hapaaaaaa! Bujibuji! I Gin Ja Wa
Najua umeelewa code[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengi wanaojisifu hivyo tayari ni wachawi wakubwa na wanautumbo mkubwa wa kuwafanya wawe na kiu ya kuwanga. Hakuna sifa hio ya bila kuujua uchawi, tayari una zindiko la wazazi wako au la Babu Yako au bibi yako. Unawajua manyafu wewe wale wa Kinyika enzi hizo eneo la kiwira magereza au eneo la mbojo? Kabla hawajatimuliwa kwenda Sumbawanga Rukwa ?
Kwa nini hamtaki kuamini kuna watu hatuujui uchawi?
 
Swalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.

Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk

Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).

Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.

Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.

Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.

Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
"... kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model)."

Na imekuwa biashara kubwa isiyotozwa kodi!
 
Chale si mbaya bali ushirikina mbaya
mmoja akijikwaa kidole kikavimba au mguu kuvimba ukichanja ndipo nafuu itapatikana

So wale mnaopinga msipinge vyote
 
Swalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.

Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk

Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).

Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.

Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.

Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.

Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
Lakini kwenye rada za akina Kisendi Nyanda Ntalima unasomeka 😁
 
Quote Repl
Swalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.

Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk

Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).

Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.

Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.

Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.

Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
Zamani "bhanyamanyafu" walikuwa tishio hatari sana! Siku hizi hawapo kutokana na mchanganyiko na watu tofauti pamoja na uwepo wa wacha Mungu na watu wastaarabu.
 
Back
Top Bottom