Ambao hatujawahi kuchanjwa chale wala kwenda kwa waganga licha ya kuishi kwenye mazingira yenye uchawi sana tukutane hapa

Ibambangulu na wanyamanyafu wako wapi na unaweza kuelezea kidogo Bujibuji Simba Nyamaume
 
Jamani.... Kuna dogo ameamka na alama mgongoni.....hata sijaelewa Ni kitu gani.... Anaulizwa hapa.... Anasema hakumbuki kuumia.... Je, ndio hizo chale/ mihuri ya kichawi.? Mshana Jr .... Naomba ushauri katika hili
 
Mbona kama nilishawahi kusoma humu kuwa Mshana Jr si mlozi siku hizi?
 
Huyu ni Mimi kabisa yaani mpaka some time nawaza niende mbali sana yaani na Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…