falcon Q
JF-Expert Member
- Feb 28, 2023
- 972
- 2,569
Aksante mkuuPole sana na hongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aksante mkuuPole sana na hongera sana
HakikaTofauti yake yeye sio mshirikina
Sio kila asemaye Bwana Bwana ni mtumishi wa MunguUsiwaseme watumishi wa Mungu mkuu, hii sio sawa
Umeniita nani?Mamdenyi za siku rafiki yangu tuwasiliane mkuu umekuwa kimya sana
Ibambangulu na wanyamanyafu wako wapi na unaweza kuelezea kidogo Bujibuji Simba NyamaumeSwalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.
Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk
Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).
Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.
Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.
Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.
Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
Naona umeweka msisitizo kabisaAkijibu niambie, 0754374093
Tatoo nao ni uchawi tuChale na tattoo Ni tofauti Mkuu Ni sawa sawa na kutofautisha MIMBA na KITAMBI
Mbona kama nilishawahi kusoma humu kuwa Mshana Jr si mlozi siku hizi?Swalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.
Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk
Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).
Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.
Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.
Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.
Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
Huyu ni Mimi kabisa yaani mpaka some time nawaza niende mbali sana yaani na DuniaWatu wangu wa karibu wanataka niangamie
Aise mambo ni mengi. Chuki, kuchonganishana, wivu tena kutoka Kwa watu wa karibu. Kuna mtu wa karibu kabisa anatamani nife ili hali bado nipo kwenye nyumba za kupanga na watoto 4! Nikifikiria nilichofanya sikijui.
Niliwatendea wengi wema wananilipa majungu na masengenyo. Kabla sijaoa niliwekeza maisha yangu Kwa watu wengine. Nilivyooa majukumu yakawa mengi nikikwama kitu kidogo nasemwa mpaka basi. Kuna mwaka nilipata safari ya kwenda nje ya nchi kikazi kuna mtu niliyemtoa mbali aliumia sana. Pia wananisema vibaya ninavyoishi na watoto wangu wanne (wote wasichana). Yaani ili mradi tafrani. mambo yangu mengi yamevuruguka Kwa kukosa utulivu.
AmeokokaMbona kama nilishawahi kusoma humu kuwa Mshana Jr si mlozi siku hizi?
Aniulize mimiAnaesema haujui uchawi n hajaroga aende umakondeni liwale au ngende
Una shuhuda yoyote mkuu? Iweke hapaAniulize mimi
Naileta soonUna shuhuda yoyote mkuu? Iweke hapa
Mwondoe sasa kwenye orodha ya walozi asije akakushtaki kwa kosa la kumchafulia jina.Ameokoka
Zipake ndimu na chumvi wanga walimchezea hakuna madhara makubwa hapoJamani.... Kuna dogo ameamka na alama mgongoni.....hata sijaelewa Ni kitu gani.... Anaulizwa hapa.... Anasema hakumbuki kuumia.... Je, ndio hizo chale/ mihuri ya kichawi.? Mshana Jr .... Naomba ushauri katika hili
Asantee Sana Mshana JrZipake ndimu na chumvi wanga walimchezea hakuna madhara makubwa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani aliowaroga wamepona madhara ya uchawi?Mwondoe sasa kwenye orodha ya walozi asije akakushtaki kwa kosa la kumchafulia jina.
22Tatoo nao ni uchawi tu