Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Alivyoandika kama anakujuaSina tatoo wala mchoro wowote
Kuna wachawi humu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alivyoandika kama anakujuaSina tatoo wala mchoro wowote
Ila Umepigwa NDUI ni moja ya chale za kizunguSina tatoo wala mchoro wowote
Rafiki yangu Mhindi anavaa madini ya kila namna eti nayo ni kingaAsante mkuu maana kuna watu wanaamini hii kitu kuwa kila mmoja ameenda kwa mganga
Sisi home mambo haya wazee na kina bibi na kina mama wamekataa kabisa
Hakuna kuamini ujinga huu bali tunaamini kinga ya Mungu tu
Tunamuoamini Mungu na kila jambo likitokea liwe zuri au baya tunamshukuru
Haya wenye kinga ya uchawi hawaibiwi? Hawafiwi? Hawapati ajali?
Kwa hiyo mna maisha mazuri kwa kwa ajili ya chale?
Tulikuwa tunamjaribu mzee kwa kumuambia huyu ni mchawi yaani atakula fimbo mpaka basi
Wahindi kwa shirk wanaongoza mkuuRafiki yangu Mhindi anavaa madini ya kila namna eti nayo ni kinga
Saibaba ilikuwa inafungwa mahiriziWahindi kwa shirk wanaongoza mkuu
Na wanaamini haswa
Nakumbuka mabasi ya yakiingia wanachukua ule udongo wa kwenye matairi ( utotoni tumelamba sana) na kuingia nao ndani huku wakivunja mayai
Na wewe mbona unavaa shanga kiunoni hujui km ni kingaRafiki yangu Mhindi anavaa madini ya kila namna eti nayo ni kinga
Kwenye matari au wapiSaibaba ilikuwa inafungwa mahirizi
Wewe pia ulikua unawanga naoWahindi kwa shirk wanaongoza mkuu
Na wanaamini haswa
Nakumbuka mabasi ya yakiingia wanachukua ule udongo wa kwenye matairi ( utotoni tumelamba sana) na kuingia nao ndani huku wakivunja mayai
Mamdenyi za siku rafiki yangu tuwasiliane mkuu umekuwa kimya sanaDah, humu JF mbona ni mimi peke yangu sipati mkaguzi wa mwili wangu, anikague hadi utosi kwa kuhesabu nywele mojamoja?
Wakubwa mnafaidi sana
Myebusi potezea nimeona Mamdenyi katokezea happy kwako nimkamjulia haliMamdenyi za siku rafiki yangu tuwasiliane mkuu umekuwa kimya sana
Yaani uchanjwe damu zichoruzike harafu dawa iingie si Bora kama kumeza!Sasa damu inamwagika hiyo dawa inaingiaje?Swalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.
Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk
Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).
Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.
Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.
Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.
Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
Umepigwa NDUI wewe wakati unapigwa NDUI damu ilitoka au haikutoka dawa ilikuiingia au haikuingia?Yaani uchanjwe damu zichoruzike harafu dawa iingie si Bora kama kumeza!Sasa damu inamwagika hiyo dawa inaingiaje?
Sio kweli,.. kwamba wote ni wazee wa Tawire Tawire... village zingine dini ilifika mapema sana.Labda uwe umezaliwa na kumeishi ulaya?
Chale na dawa ya ndui vitu 2tofauti!Umepigwa NDUI wewe wakati unapigwa NDUI damu ilitoka au haikutoka dawa ilikuiingia au haikuingia?
Angalia mkono wako wa kushoto begani una chale ya NDUI ulipozaliwa tu wakakuwahi fasta ukapigwa chale
Kwa sababu ni vya MZUNGU au sio?Chale na dawa ya ndui vitu 2tofauti!
mvuto wa kuvutia ugomvi.Nliwahi kupigwa chale za mvuto. Nilipotoka hapo nikawa nagombana na watu Kila siku