Am not addicted to anything, that one straight i have.
1. Sijawai kunywa pombe ya aina yoyote hata kuonja,
2. Sijawai kuvuta sigara yoyote, labda makaratasi utotoni
3. Sijawai kubet na sijui
4. Sijawai kunywa energy drink yoyote
5.... Niiendelee niacheeeeeeee...
Na roho mbaya juu, ukutane na boss hanywi pombe, ni mkuda, mnafki, mbaguzi, kila aina ya uovu anakuwa nao.Mnakuwaga wambea wambea sana nyie na hamna michongo ya hela
Dah😆😆😆Au huelewi elewi unakunywa Mbege Lita mbili hapo unakojoa wadudu wote wa yutiai😂
Utasikia wanakwambia Eti pombe itakupeleka wap?! Inabidi waulizwe nawenyewe soda, juice na chai itawapeleka wap😂😂🤣Au huelewi elewi unakunywa Mbege Lita mbili hapo unakojoa wadudu wote wa yutiai😂
Mbona ume hoji ki chuki chuki mkuu??Mmefika wapi au hiyo ndo achievement kubwa mliyonayo?
Dah 😆😆, Leo mme Amua jamani😆Na roho mbaya juu, ukutane na boss hanywi pombe, ni mkuda, mnafki, mbaguzi, kila aina ya uovu anakuwa nao.
Mbona ume hoji ki chuki chuki mkuu??
Mkuu kwanza Sina shobo na hizo dini zilizo kuja kwa mtumbwi.Huwa hamtumii kitu afu mmefulia kuliko wanaoweka heshima bar afu mnakimbilia kuokoka mnazidi kuchanganyikiwa.
Mkuu kwanza Sina shobo na hizo dini zilizo kuja kwa mtumbwi.
👉 Second mi ni jobless pro max tu, Afu una mpimaje mtu ana hela -kwa kutumia jf😆
Sawa mkuu. Ila nawajua watu baadhi hawanywi.Sikulengi wewe particularly naongelea ilivyo in general.
Sawa mkuu. Ila nawajua watu baadhi hawanywi.
👉Na wako extra miles
Mkuu niki kuambia hata soda sipendelei, uta amini!?Wachache wengi wenu mmepauka sana, fanta zitawapa sukari.
Dah nime Kumbuka maana ya miviga😆😆😆.Hii unayotupa hapa sasa ndio miviga
Mkuu niki kuambia hata soda sipendelei, uta amini!?
,👉Kuhusu kuoauka, labda mtu akiwa na starehe nyingine - mfano madem,
So ana tumia kichaka hiki kuji ficha.
Mkuu mbona hoja yako ime jikita kwenye kupauka tu?!.Naamini wengi wenu mmepauka sana achievement yenu kubwa ni kwamba hamfanyi anasa. Anyway, to each their own.
Kupauka means kufulia kifedha, kukosa asset au ??Naamini wengi wenu mmepauka sana achievement yenu kubwa ni kwamba hamfanyi anasa. Anyway, to each their own.
Nakuunga mkono kwa uvutaji, i.e.sigara, bangi, chochote kinachovutwa sijawahi..Katika ukuaji wangu wote hadi leo, sija wahi kuvuta sigara au kunywa pombe.
👉Sio ushamba ila hivyo sio vipaumbele vyangu.
Vipi Kuna wenzangu na mimi??
View attachment 2893067View attachment 2893068View attachment 2893069
Safi mkuu, muda mwingine ustaarabu ni kustaarabika kwenyeweNakuunga mkono kwa uvutaji, i.e.sigara, bangi, chochote kinachovutwa sijawahi..
As for drinking, I occasionally do it in moderation