Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

Sijawahi onja vyote hivyo ila tukiwa sehem mfuko upo vizuri kununua/kulipia niliye naye simple tu awe me/ke ila mimi sijawahi na hata company yangu wote watumiaji ila mimi sijawahi na sitegemei kama ipo siku ni tajaribu!
 
Bro mi hata sifikirii kujaribu, am just enjoying the way I live
Still Bado kijana mdogo ukikua kua utaelewa
Nilikuaga kama wew ila Huwa mara moja Moja Huwa nakunywaga wine๐Ÿทna spirit for recreational purpose tena Kwa kipimo MAALUM

Unywaji hutusaidia kufuta takataka nyingi kwenye ubungo ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
So AKILI IKITAKATA NA MWILI LAZIMA UNATAKATA๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Nachukia ulevi na walevi period!! Drink responsible kama wazungu (highly civilized people)
 
Drinking is drinking muraaa๐Ÿ˜†, Hakuna Cha civilized Wala nini ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Drinking is drinking muraaa๐Ÿ˜†, Hakuna Cha civilized Wala nini ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Mdogo angu save hii comment inshallah ten years to come uje uni prove wrong sawaa...

Ukiwa mwanaume Kuna starehe 3 lazima udondokee Moja..
1.Sex
2.pombe
3.Sigara ie sigara zoteeee


๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Šโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ