General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Nasukuma toto za kikuyu, zenye jeuri balaa.Ubahili unakusumbua sio buree
Umri ukifika utahitaji mtu ndani!Sina mpango wa kuoa maisha, na sidhani kama ni lazima.
Kuishi kwa masharti na kufuatiliana siwezi, nahitaji uhuru na kuishi navyo taka.
Mpango wangu ni kupata mtoto mmoja, nimpe mahitaji yake ya msingi na muhimu.
Bado sijapata sababu ya kuoa.
Ni maisha niliyochagua.
General Mangi
Nairobi
mkuu unajua nina miaka mingap?Umri ukifika utahitaji mtu ndani!
Basi una pepo halitaki uoe nenda Kanisani ukapate msaada wa maombi roho chafu ipo kaziniNasukuma toto za kikuyu, zenye jeuri balaa.
Pesa si tatizo mkuu
Hakuna kinaitwa pepo, hakuna sababu ya kwenda kanisani.Basi una pepo halitaki uoe nenda Kanisani ukapate msaada wa maombi roho chafu ipo kazini
Huwez kukubali maana umeshikwa akili na pepo mchafuHakuna kinaitwa pepo, hakuna sababu ya kwenda kanisani.
Ila kukaa na mwanamke ni changamoto sanasasa hivi ni mwendo wa kuzalisha na kulea mtoto tu....
mambo ya kuoa siyawezi mkuu....
naunga mkono hoja....
hasahasa upate mwanamke anaeongea kama chiriku.... unaeza kufa kwa presha mkuuIla kukaa na mwanamke ni changamoto sana
Thibitisha uwepo wa pepo!!Huwez kukubali maana umeshikwa akili na pepo mchafu
Sawa babu generalimkuu unajua nina miaka mingap?
Achana na ndoa mkuu,Naunga mkono hoja , tatizo niliyenae kwa sasa analazimisha ndoa balaa.
Hakuna mwanaume asiyependa kuoaThibitisha uwepo wa pepo!!
Kwanini unaamininkatika pepo?