kilamuruzi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,232
- 1,075
Mimi mwenyewe nilichelewa sasa hivi nietimiza 41 sasa nimeishaona stoweza tena kuoa maana nimeishapata watoto 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wanaokataa kuoa ni wadhaifu, udhaifu aidha kwa muonekano wao au vipato vyao au uwanaume, hofu yakua udhaifu kwawenza wao utawaletea fedhea ndo chanzo kikubwa chakukataa kuoa. acheni uoga vijana jiongezeni nakila ktu kitakua fresh.Acha kutisha watu wewe,kuoa siyo lazima,kwanza wengi wanao oa na kuolewa huwa ni wagonjwa i mean huwa wanakuwa wameshikwa na lonelness sickness hivyo wanaoa ila wapate tiba ya huo ugonjwa
Hakuna mangi boyaboya kama wewe...ukizeeka nani atakulea mangi? Ukibadili mawazo usisite kuanzisha uzi mwingine wa kukanusha huu!Sina mpango wa kuoa maisha, na sidhani kama ni lazima.
Kuishi kwa masharti na kufuatiliana siwezi, nahitaji uhuru na kuishi navyo taka.
Mpango wangu ni kupata mtoto mmoja, nimpe mahitaji yake ya msingi na muhimu.
Bado sijapata sababu ya kuoa.
Ni maisha niliyochagua.
General Mangi
Nairobi
Angalia huyu naye anawaza kulelewa uzeeni maisha ya ndoa ni zaidi ya hayo uyafikiriayo ndiyo maana ndoa zenu nyingi zinafeliHakuna mangi boyaboya kama wewe...ukizeeka nani atakulea mangi? Ukibadili mawazo usisite kuanzisha uzi mwingine wa kukanusha huu!
Dah nakubaliana na wewe ata mm natamani wakuzaa naye ntamlea mtoto kwa gharama zote ila kuoa apan sitamanNi mtazamo tu sina mpango wa kuoa kwa sababu zifuatanzo;-
1. Ndoa ni gharama
2 . Ndoa haina guarantee.
3. Ndio inasababisha inequality inategemea na akili yako.
4. Siku hizi pesa inathamani zaidi ya upendo
5. Maisha ya furaha unayapata pindi unakua man alone kwa sababu hakuna mtu anayekufuatilia.
6. Siku hizi kupata mwanamke type yako ni issue kwa kua utandawazi umewazidi.
7.kubwa kuliko zote za hapo juu ni kwamba na hitaji mwanamke wa kuzaa nae tu ila ndoa hapana kwa nini, hakuna upendo wa kweli.
Ni hayo tu kama unachakusema kiroho safi ila huo ni mtizamo wangu au kama Kuna nyongeza changia
Ninacho hitaji ni peace of mind. Kwenye maisha ku regret ni dalili yakufeli au kujata natamaa.
Duh nahisi yanayo mkuta huyu jamaa kwenye ndoa yake anajuta hahahah kama anasupport hili wakati ameo mmmh .Naunga mkono hoja japo nimeoa [emoji30]
AiseeeNaunga mkono hoja japo nimeoa [emoji30]