Ambao Hatuna Mpango wa Kuoa Tukutane hapa

Ambao Hatuna Mpango wa Kuoa Tukutane hapa

Mimi mwenyewe nilichelewa sasa hivi nietimiza 41 sasa nimeishaona stoweza tena kuoa maana nimeishapata watoto 2
 
Acha kutisha watu wewe,kuoa siyo lazima,kwanza wengi wanao oa na kuolewa huwa ni wagonjwa i mean huwa wanakuwa wameshikwa na lonelness sickness hivyo wanaoa ila wapate tiba ya huo ugonjwa
Wengi wanaokataa kuoa ni wadhaifu, udhaifu aidha kwa muonekano wao au vipato vyao au uwanaume, hofu yakua udhaifu kwawenza wao utawaletea fedhea ndo chanzo kikubwa chakukataa kuoa. acheni uoga vijana jiongezeni nakila ktu kitakua fresh.
 
Sina mpango wa kuoa maisha, na sidhani kama ni lazima.

Kuishi kwa masharti na kufuatiliana siwezi, nahitaji uhuru na kuishi navyo taka.

Mpango wangu ni kupata mtoto mmoja, nimpe mahitaji yake ya msingi na muhimu.

Bado sijapata sababu ya kuoa.

Ni maisha niliyochagua.

General Mangi
Nairobi
Hakuna mangi boyaboya kama wewe...ukizeeka nani atakulea mangi? Ukibadili mawazo usisite kuanzisha uzi mwingine wa kukanusha huu!
 
Ni mtazamo tu sina mpango wa kuoa kwa sababu zifuatanzo;-
1. Ndoa ni gharama
2 . Ndoa haina guarantee.
3. Ndio inasababisha inequality inategemea na akili yako.
4. Siku hizi pesa inathamani zaidi ya upendo
5. Maisha ya furaha unayapata pindi unakua man alone kwa sababu hakuna mtu anayekufuatilia.
6. Siku hizi kupata mwanamke type yako ni issue kwa kua utandawazi umewazidi.
7.kubwa kuliko zote za hapo juu ni kwamba na hitaji mwanamke wa kuzaa nae tu ila ndoa hapana kwa nini, hakuna upendo wa kweli.
Ni hayo tu kama unachakusema kiroho safi ila huo ni mtizamo wangu au kama Kuna nyongeza changia
Ninacho hitaji ni peace of mind. Kwenye maisha ku regret ni dalili yakufeli au kujata natamaa.
 
Mkuu mangi hauna tatizo lolote la kisaikolojia kweli? Maana najua pamoja na usaliti au mambo ya kufuatiliana huwa hamu ya kuwa na mwenza haiwezi mwisha mwanadamu.... Kwa mipango yako najua utakuwa happy in 30's and early 40's ila baada ya hapo utajutia uamuzi wako
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Ni mtazamo tu sina mpango wa kuoa kwa sababu zifuatanzo;-
1. Ndoa ni gharama
2 . Ndoa haina guarantee.
3. Ndio inasababisha inequality inategemea na akili yako.
4. Siku hizi pesa inathamani zaidi ya upendo
5. Maisha ya furaha unayapata pindi unakua man alone kwa sababu hakuna mtu anayekufuatilia.
6. Siku hizi kupata mwanamke type yako ni issue kwa kua utandawazi umewazidi.
7.kubwa kuliko zote za hapo juu ni kwamba na hitaji mwanamke wa kuzaa nae tu ila ndoa hapana kwa nini, hakuna upendo wa kweli.
Ni hayo tu kama unachakusema kiroho safi ila huo ni mtizamo wangu au kama Kuna nyongeza changia
Ninacho hitaji ni peace of mind. Kwenye maisha ku regret ni dalili yakufeli au kujata natamaa.
Dah nakubaliana na wewe ata mm natamani wakuzaa naye ntamlea mtoto kwa gharama zote ila kuoa apan sitaman
 
kuna kipindi hata mimi nilikua na mawazo kama yako...lakini baadae nikagundua niko wrong kabisa...

nenda kafikirie vizuri..nahisi utakuwa umepaniki tu na maisha ya mzee magu.
 
Kisa cha kutokuoa ni nini wakuu?
Mwakani tu nitafanya kweli.
 
Haya ni mawazo yanayosababishwa na na ugumu wa maisha ila ni mtazamo wangu au ni kutojiamini. Pia inachangiwa na malezi uliyoyapata. Kama umekuwa ukiona wazazi wakiwa hawaelewani sidhani kama unaweza kutamani kujiingiza katika ndoa. NAKTAKIA MAISHA MEMA KATIKA MAAMUZI YAKO
 
Naunga mkono hoja. Sina mpango wa kuoa na sijui kama ntaoa lini. Natamani kupata mtoto nimlee. Sina mapenzi ya dhati kwa mwanamke yeyote
 
Mapenzi ya kweli??_A very new vocabulary in my cranium.Why keeping a cow if you can get free milk??
 
Hakuna mwanaume asiyependa kuoa tatizo ni nani anayefaa kuwa mke.ndoa sio kitu cha kukimbilia bila kufanya tadhimini ya kutosha,hakuna kitu kinachoteza watu wengi kama hiz ndoa za kikristo.
 
Back
Top Bottom