Ambao Hatuna Mpango wa Kuoa Tukutane hapa

Haya ni mawazo ya mtu aliyepotoka.....mtu asiyetambua baraka na neema za Mungu.......

Ni mawazo ya mtu aliye kwenye kilele cha ujana unaomfanya aonekane mwehu.......

Kuoa ni kutimiza haja za kimaumbile na kidini kwa wale wanaoamini uwepo na uwezo wa Mungu.......

Katika hali ya maneno yatokayo kinywani linaonekana na jambo jepesi sana.....lakini kwa wenye ufahamu na staha ni jambo lenye upotofu.........

Mwanadamu hawezi kubaki salama pasi na kutenda mapenzi ya Mungu.....

Mungu alipo pinga zinaa na kuhalalisha ndoa maana alikuwa anajua madhara ya zinaa na mateso yake.......leo hii kuna mlolongo wa magonjwa ya zinaa yasingeshika hatamu kama kila angejiweka mbali na zinaa......

Tumuombe Mungu atufunulie ili tupate wake wema........
Kwann isiwe wewe umepotoka?
 
Basi una pepo halitaki uoe nenda Kanisani ukapate msaada wa maombi roho chafu ipo kazini
Acha kutisha watu wewe,kuoa siyo lazima,kwanza wengi wanao oa na kuolewa huwa ni wagonjwa i mean huwa wanakuwa wameshikwa na lonelness sickness hivyo wanaoa ila wapate tiba ya huo ugonjwa
 
Haya ni mawazo ya mtu aliyepotoka.....mtu asiyetambua baraka na neema za Mungu.......

Ni mawazo ya mtu aliye kwenye kilele cha ujana unaomfanya aonekane mwehu.......

Kuoa ni kutimiza haja za kimaumbile na kidini kwa wale wanaoamini uwepo na uwezo wa Mungu.......

Katika hali ya maneno yatokayo kinywani linaonekana na jambo jepesi sana.....lakini kwa wenye ufahamu na staha ni jambo lenye upotofu.........

Mwanadamu hawezi kubaki salama pasi na kutenda mapenzi ya Mungu.....

Mungu alipo pinga zinaa na kuhalalisha ndoa maana alikuwa anajua madhara ya zinaa na mateso yake.......leo hii kuna mlolongo wa magonjwa ya zinaa yasingeshika hatamu kama kila angejiweka mbali na zinaa......

Tumuombe Mungu atufunulie ili tupate wake wema........
Kwa hiyo na ajali zinazotafuna watu kila siku zimesababishwa na zinaa au kutokuoa?usitishe watu bwana kila mtu anatakiwa aishi maisha yake aliyojichagulia ili mradi asivunje sheria na asimkwaze mtu,live the life of your own don't try live like others or competing with others maisha hayana formula
 
Sina mpango wa kuoa maisha, na sidhani kama ni lazima.

Kuishi kwa masharti na kufuatiliana siwezi, nahitaji uhuru na kuishi navyo taka.

Mpango wangu ni kupata mtoto mmoja, nimpe mahitaji yake ya msingi na muhimu.

Bado sijapata sababu ya kuoa.

Ni maisha niliyochagua.

General Mangi
Nairobi
nitakubaka wewe ngoja nikukamate
 
Back
Top Bottom