Ambao Hatuna Mpango wa Kuoa Tukutane hapa

Kwann isiwe wewe umepotoka?
 
Basi una pepo halitaki uoe nenda Kanisani ukapate msaada wa maombi roho chafu ipo kazini
Acha kutisha watu wewe,kuoa siyo lazima,kwanza wengi wanao oa na kuolewa huwa ni wagonjwa i mean huwa wanakuwa wameshikwa na lonelness sickness hivyo wanaoa ila wapate tiba ya huo ugonjwa
 
Kwa hiyo na ajali zinazotafuna watu kila siku zimesababishwa na zinaa au kutokuoa?usitishe watu bwana kila mtu anatakiwa aishi maisha yake aliyojichagulia ili mradi asivunje sheria na asimkwaze mtu,live the life of your own don't try live like others or competing with others maisha hayana formula
 
nitakubaka wewe ngoja nikukamate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…