Ambao Hatuna Mpango wa Kuoa Tukutane hapa

Hakuna mwanaume asiyependa kuoa tatizo ni nani anayefaa kuwa mke.ndoa sio kitu cha kukimbilia bila kufanya tadhimini ya kutosha,hakuna kitu kinachoteza watu wengi kama hiz ndoa za kikristo.
So what are you insinuating dude??
 
Fikra hizi zinasababishwa aidha kwa kutokujiamini au ugumu wa maisha au vyote kwa viwili kwa pamoja.
 
Nijuavyo Mimi kuoa /kuolewa ni zaidi ya ngono na kuzaa watoto. Nafikiri Ndio maisha yenyewe. Haya engine yooote yanapatikana wakati wowote. Nawasiri vijana Mike na kuolewa. Kuna wakati ktk maisha Watakiwa kuwa na mke/mume. Msidanganyike sana
 
Wengi wanaokataa kuoa ni wadhaifu, udhaifu aidha kwa muonekano wao au vipato vyao au uwanaume, hofu yakua udhaifu kwawenza wao utawaletea fedhea ndo chanzo kikubwa chakukataa kuoa. acheni uoga vijana jiongezeni nakila ktu kitakua fresh.
Unaoa kisa una pesa?
 
Kweli Mtumishi nakuunga mkono nataka kutia nyama mahali hapo,wakt mtu anasema hataoa anadhani ni rahisi kuishi bila mwenza,siku,miezi,miaka itaenda umri utazidi utahitaji hata mtu wa kukutoa hapo nje uote jua utampata wapi km haukuandaa mazingira mazur ya wasidiz wako wa mbele? Kuna siku ghafla utaumwa ugonjwa wa kukulaza kitandani ni nan8 atajitokeza kukuudumia kipindi chote hicho km s familia uliyoiandaa wakt huu ambao ww hautaki kuoa????

HAPO NAZUNGUMZIA FAMILIA YAKO NDO ITAKUWA NA UCHUNGU ZAID,KAKA,DADA,WAZAZI WATAKUJA KUKUONA NA KUONDOKA,LAKIN FAMILIA YAKO ITAKUWA BENET MPK HATUA YA MWISHO.

ZINGATIA CAMERA YA KUONA MBALI SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…