- Thread starter
- #121
Uhuni ni kutomtambua JPM
Acha kufananisha Baba wa Taifa na wahuni!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kufananisha Baba wa Taifa na wahuni!!!
JPM angemaliza miaka 10 madarakani, Tanzania hii ingetishaaaMagufuli alikuwa shetani, period!
Siku akili yako ikifunguka, utatambua umuhimu wa JPM katika nchi yetu1. Nyerere hakuwa muuaji,
2. Nyerere hakuweka ndugu zake
3. Nyrere hakuwa katili
4. Nyerere hakumpiga Lisu risasi 32
inatosha
Kama umefuatilia Leo huko chato maadhimisho ya Nyerere Day, umetambua Nyerere wa sasa ni JPMKwa kuzingatia comments tu mleta uzi umepigwa na kitu chenye ncha kali takoni🤣🤣 usifananishe bahari na dibwi chafu😎😎
Wewe ni kibaraka wa shetani, utakuwa unatoka kanda ileee ya wapiga diliKwa kweli, na ata lile kabila lagnu la wengi uku kwetu kanda ya ziwa pia ni shida tupu.
Ata wakisema nimewasaliti lakini ukweli ni kwamba wametuaibisha sana kwa umbukeni na ushamba uliosababisha uchumi kuharibika!
Msukuma bhana kaona hela bank kuu akajua zote zake!😂😂
Unajivunia wizi wa hela za umma? Ndio legacy mlioachiwa?Unadhani hicho nisawa
Mwl nyerere alijisahau sana
Charity start at home
Hizo pesa zilizoibwa, zipo wapi?. Mbona Nyaraka za Panama hazimtaji huyu shujaa wetu?. JPM, rais wa wazalendoUnajivunia wizi wa hela za umma? Ndio legacy mlioachiwa?
Nadhani bado uko kwenye njozi. Labda kama kuna 'Nyerere' uliembumba. Viatu mnavyojaribu kumvisha Jiwe vinampwa sana, msichoke kajaribuni vya Lady Hangaya.Kama kutokujitambua ni jinsi hiyo, yes alikuwa hivyohivyo...Ukitaka linganisha hotuba zao mitandaoni uone...Wanafanana kwa karibu kila kitu hadi kukusema hadharani bila uwoga wala kupepesa jicho!
Ujenzi wa Chato International Airport? Kama huo ndio uzalendo wenu, basi ni aibu tupu. Kamuulize Dotto James.Hizo pesa zilizoibwa, zipo wapi?. Mbona Nyaraka za Panama hazimtaji huyu shujaa wetu?. JPM, rais wa wazalendo

Dogo, soma shule ukapambane mtaaniKesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.
Mfano:
1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu
2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo
3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari
4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara
5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k
6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili
7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.
8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.
Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.
Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.
Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.
Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.
Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
Ujenzi wa Chato International Airport? Kama huo ndio uzalendo wenu, basi ni aibu tupu. Kamuulize Dotto James.Hizo pesa zilizoibwa, zipo wapi?. Mbona Nyaraka za Panama hazimtaji huyu shujaa wetu?. JPM, rais wa wazalendo
Nyerere hakuwaKesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.
Mfano:
1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu
2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo
3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari
4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara
5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k
6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili
7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.
8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.
Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.
Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.
Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.
Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.
Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
Mwalimu Nyerere asilinganishwe na matakataka tafadhari!!Kesho tarehe 14/10/2021 ni kumbukizi ya Miaka 22, tangia kuondokewa na Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.
Mfano:
1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu
2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo
3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari
4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara
5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k
6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili
7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.
8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.
Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.
Tunapoadhimisha miaka 22 tangia kumpoteza Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.
Kama JPM ameweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu.
Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.
Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu
1.5 Trillion hakuna raisi Afrika aliyewahi kukwapua kwa Mara moja kiasi kikubwa Kama hiki..Jumlisha ufisadi wote mkubwa uliotingisha nchi haufikii hizo pesa...wewe utakuwa muhamiaji wa vinchi vile jirani..WAnaomchukia JPM ni mafisadi, wazalendo tunampenda
Ila ile kanda nayo ilizidi sana kujipendelea na kujiona iinajua sanaAcha uongo, Nyerere elimu ilikuwa bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu!Hata JPM ni mnufaika wa elimu bure ya mwalimu Nyerere!
Nyerere aliwaunganisha watanzania wote,ila huyo uliyemtaja alifanya kazi kubwa kubomoa umoja wa kitaifa!
Nyerere alichukia sana ukabila, huyo uliyemtaja aliichukia sana kanda fulani!
NB: Usimfananishe Nyerere na vitu vya ajabu!
Hizo ni zama braza, kumbuka zama za wakati wa Julius akiwa Rais hakukuwa na flyover hata moja nchi nzima na hakuwa na rami toka DSM - MZA na wala DAR -MTWARA na wala hukuwa na Bwawa la Julius Nyerere na serikali bado haikuwahi kuhamia Dodoma pamoja na kwamba yalikuwa ni mawazo yake. Hayo yote umeshindwa kuyashangaa isipokuwa tu uwanja wa ndege Chato? Acha fikira za wivu.Chato kuna Uwanja wa Ndege wa Lami lakini Butiama achilia mbali Musoma makao Makuu ya mkoa wa Nyerere Uwanja Vumbi tu.
ACHA KABISA KUMFANANISHA NYERERE NA HUYO MTU HAWAFANANI KWA LOLOTE LILE HATA UANACHAMA WA CCMLeo hapa jijini kunafanyika kongamano la miaka 100 tangia kuzaliwa kwa Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere, 1922 huko Butiama mkoani Mara
Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.
Mfano:
1. Kwamba Mwl. Nyerere alipigania Uhuru wa Taifa letu
2. Kwamba Mwl. Nyerere hakutaka wazungu watuibie madini yetu na rasilimali zinginezo
3. Kwamba Mwl. Nyerere alitoa Elimu bure kwa watanzania kuanzia msingi hadi sekondari
4. Kwamba Mwl. Nyerere alijenga miundo mbinu ya reli, bandari na Barabara
5. Kwamba Mwl. Nyerere alianzisha mashirika ya Umma kama Air Tanzania, TRC, Tazara n.k
6. Kwamba Mwalimu Nyerere hakuwa na aibu kwa mafisadi wala wahujumu uchumi wa Taifa hili
7. Kwamba Mwl. Nyerere hakuwa tayari kutii maagizo ya Mabeberu.
8. Kwamba Mwalimu Nyerere ni Mzalendo aliyekuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake.
Mambo hayo mazito, kuna vijana wanaodhani kwamba ni porojo, hayakufanyika na hakuna Mtanzania awezaye kuwatenda.
Tunapoadhimisha miaka100 tangia kuzaliwa Mzalendo wetu, ni dhahiri kwamba Mheshimiwa Hayati JPM ndiye Nyerere wa zama zetu.
Kama JPM aliweza kufufua mashirika ya umma, kukomesha wizi wa madini, kupitia upya mikataba ya madini, kuzuia hujuma ktk miradi ya umeme, kuhuisha reli ya kati na Tazara na ile ya Kilimanjaro, kununua meli mpya, vivuko na ndege, kukomesha ujangili wa tembo, kutumbua mafisadi, kukataa maagizo ya mabeberu na kurejesha heshima ya nchi
Ni Faraja kwamba Matendo ya Nyerere na Magufuli ni fundisho kwetu kuwa wazalendo, wachapa kazi na kuutetea Uhuru na kulinda rasilimali za Taifa.
Mwl. Nyerere alikuwa tayari kufa kwaajili ya Taifa lake, katika Hotuba nyingi za JPM, alisisitiza kwamba amejitoa mhanga kwaajili ya watanzania, alisimamia alichokiamini, alikemea mabeberu weupe na vibaraka wao, alikubali kufa kishujaa kuliko kusalim Amri.
Alisisitiza, Tutamkumbuka kwa Wema na kweli tumeanza kumkumbuka na tunaendelea kumkumbuka, hata waliimchukia wameanza kumkumbuka kutokana na hali halisi ya sasa
Nawatakia Kumbukizi njema yenye Tafakuri kwetu na kwenu mlioko hapo Ukumbini. Jifunzeni Mema ya Mwalimu na Mema ya Magufuli ili mumshauri vyema mheshimiwa Samia katika kuliongoza Taifa. Tanzania ni yetu Sote