Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

Hizo ni zama braza, kumbuka zama za wakati wa Julius akiwa Rais hakukuwa na flyover hata moja nchi nzima na hakuwa na rami toka DSM - MZA na wala DAR -MTWARA na wala hukuwa na Bwawa la Julius Nyerere na serikali bado haikuwahi kuhamia Dodoma pamoja na kwamba yalikuwa ni mawazo yake. Hayo yote umeshindwa kuyashangaa isipokuwa tu uwanja wa ndege Chato? Acha fikira za wivu.
Hata utumie hesabu astronomical bado justification ya kuwa na Airport ya International runway Chato siyo JUSTFIABLE. Ule ni ufisadi na ubinafsi wa hali ya juu kabisa. Tanzania hatukustahili kutawaliwa na Magufuli
 
Back
Top Bottom