Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

1. Nyerere hakuwa muuaji,
2. Nyerere hakuweka ndugu zake
3. Nyrere hakuwa katili
4. Nyerere hakumpiga Lisu risasi 32

inatosha
Siku akili yako ikifunguka, utatambua umuhimu wa JPM katika nchi yetu
 
Kwa kuzingatia comments tu mleta uzi umepigwa na kitu chenye ncha kali takoni🤣🤣 usifananishe bahari na dibwi chafu😎😎
Kama umefuatilia Leo huko chato maadhimisho ya Nyerere Day, umetambua Nyerere wa sasa ni JPM
 
Wewe ni kibaraka wa shetani, utakuwa unatoka kanda ileee ya wapiga dili
 
Kama kutokujitambua ni jinsi hiyo, yes alikuwa hivyohivyo...Ukitaka linganisha hotuba zao mitandaoni uone...Wanafanana kwa karibu kila kitu hadi kukusema hadharani bila uwoga wala kupepesa jicho!
Nadhani bado uko kwenye njozi. Labda kama kuna 'Nyerere' uliembumba. Viatu mnavyojaribu kumvisha Jiwe vinampwa sana, msichoke kajaribuni vya Lady Hangaya.
 
Hizo pesa zilizoibwa, zipo wapi?. Mbona Nyaraka za Panama hazimtaji huyu shujaa wetu?. JPM, rais wa wazalendo
Ujenzi wa Chato International Airport? Kama huo ndio uzalendo wenu, basi ni aibu tupu. Kamuulize Dotto James.
 
Hizo pesa zilizoibwa, zipo wapi?. Mbona Nyaraka za Panama hazimtaji huyu shujaa wetu?. JPM, rais wa wazalendo
Ujenzi wa Chato International Airport? Kama huo ndio uzalendo wenu, basi ni aibu tupu. Kamuulize Dotto James.
 
Dogo, soma shule ukapambane mtaani

Compare the incomparable

Tumeisha wakati wa nyerere pia tumewona yule kichaa
 
Hizo pesa zilizoibwa, zipo wapi?. Mbona Nyaraka za Panama hazimtaji huyu shujaa wetu?. JPM, rais wa wazalendo
Ujenzi wa Chato International Airport? Kama huo ndio uzalendo wenu, basi ni aibu tupu. Kamuulize Dotto James.
 
Nyerere hakuwa
1. Mkabila
2. Mzalilishaji wa jinsi
3.Dharau
4.Kebehi
5.Chuki
6.Visasi
7.Muoga
8.Muongo
9. Mwizi
10. MKatili
 
Mwalimu Nyerere asilinganishwe na matakataka tafadhari!!
 
WAnaomchukia JPM ni mafisadi, wazalendo tunampenda
1.5 Trillion hakuna raisi Afrika aliyewahi kukwapua kwa Mara moja kiasi kikubwa Kama hiki..Jumlisha ufisadi wote mkubwa uliotingisha nchi haufikii hizo pesa...wewe utakuwa muhamiaji wa vinchi vile jirani..
 
Ila ile kanda nayo ilizidi sana kujipendelea na kujiona iinajua sana
 
eo April 13, ni siku ya kumbukumbu ya miaka 100 ya kuzaliwa Kwa muasisi wa Taifa Letu, Tanzania.

Najiunga na Watanzania wenzangu kuadhimisha siku hii kwa kutembelea mabandiko mbalimbali ya kujikumbusha kuhusu shujaa huyu na Baba wa Taifa Letu.

Wengine wanakuenzi Kwa mawazo, Kwa kuikubali falsafa yako.

Wengine wanakuenzi Kwa maneno Kwa kuzungumzia Kwa mazuri yako.

Na tuko sisi tunaokuenzi Kwa vitendo Kwa kuitekeleza Dira na Dhima yako ya Rushwa ni adui wa haki, sitatoa wala kupokea, hivyo niligombea kuomba kuteuliwa kugombea nafasi fulani bila kutoa hata senti moja, na matokeo yake ni niliambulia patupu.

Pamoja na kutoka kapa Kwa kukuunga mkono Kwa vitendo, bado tutaendelea kukuenzi Kwa mawazo, maneno na vitendo kupitia kwenye kalamu yangu.

Nimalize Kwa swali hili, jee viongozi wetu wa kisiasa, wanamuenzi Mwalimu Nyerere kiukweli ukweli kabisa au wanazuga tuu?.

Happy Birthday Mwalimu Nyerere.
Pascal Mayalla Snr
 
Hiyo ni trailer tu, bado Movie yenyewe inayokuja huko mbele.
Hapo ndipo Watanzania wote tutakapokutana pamoja kumkumbuka Mkombozi wetu, JPM,
Mwana Afrika, Mzalendo na shujaa wa kweli, Tanzania.
 
Chato kuna Uwanja wa Ndege wa Lami lakini Butiama achilia mbali Musoma makao Makuu ya mkoa wa Nyerere Uwanja Vumbi tu.
Hizo ni zama braza, kumbuka zama za wakati wa Julius akiwa Rais hakukuwa na flyover hata moja nchi nzima na hakuwa na rami toka DSM - MZA na wala DAR -MTWARA na wala hukuwa na Bwawa la Julius Nyerere na serikali bado haikuwahi kuhamia Dodoma pamoja na kwamba yalikuwa ni mawazo yake. Hayo yote umeshindwa kuyashangaa isipokuwa tu uwanja wa ndege Chato? Acha fikira za wivu.
 
ACHA KABISA KUMFANANISHA NYERERE NA HUYO MTU HAWAFANANI KWA LOLOTE LILE HATA UANACHAMA WA CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…