Hizo ni zama braza, kumbuka zama za wakati wa Julius akiwa Rais hakukuwa na flyover hata moja nchi nzima na hakuwa na rami toka DSM - MZA na wala DAR -MTWARA na wala hukuwa na Bwawa la Julius Nyerere na serikali bado haikuwahi kuhamia Dodoma pamoja na kwamba yalikuwa ni mawazo yake. Hayo yote umeshindwa kuyashangaa isipokuwa tu uwanja wa ndege Chato? Acha fikira za wivu.