Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

Wengi tunaowaona sio kwamba ni marafiki bali watu waliozoeana,na mazoea huja kupitia kusoma pamoja,kufanya kazi pamoja au kwenye mazingira yanayofanana na hayo!

Kupata rafiki ambae atakuthamini na kuwa mwaminifu kwako sio kazi rahisi yani hapo na maombi yahusike,bila hivyo it is better hapo ulivyo alone kuliko upate watu wataolazimisha downfall yako kilazima kabla ya muda!

Cha mwisho kama uko desperate sana jaribu kwenye vikoba huko utapata watu na ikitokea una shida basi hao wataambatana nawe,kama uko dar wafatilie buta vikoba hawa wana branches kila kona ya dar!
Ni kweli kabisaaaaaa
 
Dah ukimpta mtu sahihi kwa urafiki utaenjoy sana
Back in days huko primary nilikuwa na rafiki yangu DON dah jamaa alinikubali na mimi nilimkubali sana, baadae tukapoteana kidogo tukakutana tena sekondari
Tulipendana kiasi cha hata ndugu kujua urafiki wetu .
Ila mambo ya chuo haya ndiyo mwanzo wa kuanza kupotezeana kiaina na rafiki yangu
Niko chuo A na yeye chuo B basi ukaribu ukawa mbali kidogo ila mkoa mmoja

Weekend tukawa tukiwa na time tunameet pale Sudan hotel kwa sasa pale sudan_temeke

Ila tukaanza kupoteana katika itikadi mwenzangu akawa tofauti na mwanzo.

Basi nikahama mkoa , yeye akabaki mkoa huo ila mawasiliano nikawa naforce mimi
Mwisho nikapoteza ila namkumbuka sana mwanangu sana tu ila ndiyo vile nabalance shobo tu.
Inaumiza kumpoteza rafiki
 
Good morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa😔

Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia
Huu ni mtego kuna marafiki ni ngumu sana kuwaelewa yani wanakuwa wabinafsi hata upate shida hawezi kuku saidia. Kuna wale wa damu ambaoo sijui nisemeje mimi nina marafiki wa 3. ila the best ni mmoja. wengine wameanza kupotea mmoja mmoja
 
Good morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa😔

Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.

Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.

Wenye marafiki mnawapataje???
Ndege wanaofanana mabawa ndo wanaoruka pamoja ,,kama ww mzee Wa tungi tafuta tungi mwenzio ndo mtaelewana ,,kama wewe ni Wa ibada also mtafute popote alipo ili mwende sawa..
 
Good morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa[emoji17]

Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.

Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.

Wenye marafiki mnawapataje???
.
Ajifanyiaye marafiki wengi ni kwa maangamizi yake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.
.
Marafiki wa mchongo ambao ukiwa na kitu mnakuwa wote ila ukiwa na shida hawakusaidii wako wengi tu ila achana nao.
.
Kupata rafiki wa kweli mmoja, kiukweli ni ngumu, itakuchukua muda sana na kujitoa kweli kweli. Pamoja na yote hayo unaweza usipate.
 
hivi kwa nini watu wanaogopa kuzikwa na manispaa?
Hawana simile hao sasa we kufa wakuzike hao kashimo kafupii mguu unachomoza nje na hawajali wala nini hakuna hata wa kukulilia jamaniiiii mume wanguuu hakuna hiyo hapo wanaume wanapiga chepe tu wakimaliza wanapanda kwenye lori lao isuzu waleeeee huku washapokea aftatu zao kibindoni we unataka?😂😂
 
Unazikwa mguu umechomoza 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wengi tunaowaona sio kwamba ni marafiki bali watu waliozoeana,na mazoea huja kupitia kusoma pamoja,kufanya kazi pamoja au kwenye mazingira yanayofanana na hayo!

Kupata rafiki ambae atakuthamini na kuwa mwaminifu kwako sio kazi rahisi yani hapo na maombi yahusike,bila hivyo it is better hapo ulivyo alone kuliko upate watu wataolazimisha downfall yako kilazima kabla ya muda!

Cha mwisho kama uko desperate sana jaribu kwenye vikoba huko utapata watu na ikitokea una shida basi hao wataambatana nawe,kama uko dar wafatilie buta vikoba hawa wana branches kila kona ya dar!
Shida inakuja unamuona ni rafki, umempokea kwa moyo mmoja, upo tayari kujitoa kwake kuishi vizuri pamoja na kusaidiana lkn anakuendea kinyume!
 
Good morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa[emoji17]

Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.

Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.

Wenye marafiki mnawapataje???
Kwani Mimi umeniondoa kwenye friend zone?
 
Hawana simile hao sasa we kufa wakuzike hao kashimo kafupii mguu unachomoza nje na hawajali wala nini hakuna hata wa kukulilia jamaniiiii mume wanguuu hakuna hiyo hapo wanaume wanapiga chepe tu wakimaliza wanapanda kwenye lori lao isuzu waleeeee huku washapokea aftatu zao kibindoni we unataka?😂😂
Sasa wee umekufa ukililiwa unajua? Mie wala hilo sio noma kabisa kwanza atakuzika wanatpoteza muda tuu watuoe mwili wangu kwa bahari yaishe
 
Good morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa[emoji17]

Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.

Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.

Wenye marafiki mnawapataje???
Njoo uwe rafiki yangu ila mi simwagilii moyo ila napenda kutoka
 
Sijui kwa sababu ya umri rafiki wote tumekuwa pamoja tumepoteana wako mikoa mbalimbali,
Muda mwingi nipo busy na ratiba za kazi mpaka naboreka,nikamuua kujiunga kwaya walau nipate muda wa kusocialize huko nako n majungu matupu plus kuchunguzana ,nmeamini marafiki wa kweli n wanywaji wa pombe tu,trust me hivi vinajifanya vilokole vipuuzi sana kmmk.
 
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom