Nipo butiama bro itabidi nikutembelee siku mojaHuku kwema sana tunashukuru Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo butiama bro itabidi nikutembelee siku mojaHuku kwema sana tunashukuru Mungu
Marafiki hawatafutwi, huwa mnajikuta tu mshakua marafiki baada ya kuzoeana pengine mkiwa kazini au mkiwa mnakutana sehem za inada au bar au popote tuGood morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa[emoji17]
Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.
Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.
Wenye marafiki mnawapataje???
Karibu bhanaNipo butiama bro itabidi nikutembelee siku moja
Hayo maisha ndo nayaishi mimi alafu hata miaka 25 sijafikisha daaaah niko Alon mpka Najishangaa [emoji23][emoji23]Good morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa[emoji17]
Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.
Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.
Wenye marafiki mnawapataje???
Tatizo binadamu ni wabishi shemelaKumbe mimi siyo rafiki yako... Aiseee...
Inasikitisha sana, nimehuzunika...Tatizo binadamu ni wabishi shemela
Shemeji usiseme hivo we toa tu mwongozoInasikitisha sana, nimehuzunika...
Sawa miongozo ipo kibao...Shemeji usiseme hivo we toa tu mwongozo
Kutongozana si kawaida tu Eve.. unamkataa unamfanya mshkaji na unamaanisha ushkaji. Wanaume marafiki wazuri sana hasa ukiwekana nao mipaka baada ya kutongozana. Siku kadhaa zilizopita rafiki zangu wa kiume walinifanyia jambo kwenye birthday hadi rafiki zangu wa kike wakaniuliza inakuaje wakaka wanaweza tumia pesa zao juu yangu bila kuwa na agenda ya kunitaka.Tatizo wa kukutana nao bar wanakuaga watongozaji tu....mi umri wa kutongozwa ushapita
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tutakupa JumapiliNaombeni location nije niwapige hata picha....[emoji17][emoji17][emoji17]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tutakupa Jumapili
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Kutongozana si kawaida tu Eve.. unamkataa unamfanya mshkaji na unamaanisha ushkaji. Wanaume marafiki wazuri sana hasa ukiwekana nao mipaka baada ya kutongozana. Siku kadhaa zilizopita rafiki zangu wa kiume walinifanyia jambo kwenye birthday hadi rafiki zangu wa kike wakaniuliza inakuaje wakaka wanaweza tumia pesa zao juu yangu bila kuwa na agenda ya kunitaka.
Urafiki na wakaka: Akishakutongoza ukamkataa muweke karibu na marafiki zako wengine wa kike atapata mmoja tu atamtongoza. Ukijua hilo muunge mkono. Usimletee staki nataka. Akipiga story za demu alomuona akampenda msapoti, akileta magf zake watreat vizuri (kuna wanawake washamba wanapendaga kucompete na magf wa washkaji zao). Kila wanapokaa watakuita na utakua mshkaji wao daima
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hahahahaaaa... hivi mwali hukumcheck tena?? Yule sio mshkaji wangu mimi mwenyewe nilimkuta tu tukaclick.Umegonga mistari imesimama. Kwa hiyo Rafiki ndio maana mkanisokomezea na kunipamba mniachie mwali mazima? Nikashangaa upendo Gani huu Leo napelekwa getini naachiwa mwali[emoji23]
Of course nilitaka nimtafute niombe radhi kumkataa angeona nimempotezea kumbe sikutaka mambo mengi, nikaibua mengine kwanini sikuchukua namba siku Ile na Nini, nikasema isiwe shida. Nilikua nakujulia Hali tu. Hatafutwi Tena.
Na huu uzee heshima muhimu mtaani, purukushani tumewaachia mzabzab na Extrovert , Bado damu inachemka.
Kwa Sasa tunajumuika na wahenga wenzetu na watumishi kama Heaven Sent
Naam wa manzeseKwasababu we kunguru[emoji1787][emoji1787][emoji1787]