Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee miss Kigamboni, mbona mi ni rafiki Yako mkubwa tangu zama zile za Kimara?Good morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa😔
Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.
Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.
Wenye marafiki mnawapataje???
Hahahahaaaa.. kwamba watu wanaangalia marafiki warembo tu?Hahahahah saingine hata urembo unawasaidia [emoji23][emoji23][emoji23]
Ewaaaa. Sema sasa muwe na hobby zinazoendana la sivyo utaona wanakuzingua tu.Mwenyekiti mi mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Exactly issue ni pesa kwanzaNimeshajua tafuta hela mambo mengine wewe binafsi ndio unapaswa kuanzisha
Sasa PM umefunga mkongwe mwenzangu, utatupataje Marafiki? Fungua PM kabla ya kufungua moyo...nimetuma PM haitokiGood morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa😔
Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.
Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.
Wenye marafiki mnawapataje???
Kabisa mkuu. Rafiki angu wa 13yrs nilikuja kugundua mimi mshindani wake. Nimempotezea sasa hivi anahahaNdio marafiki tulionao
Kuna mdada huwa napenda ile life style, weekends hupost status wapo kwenye coaster wanaenda kutembelea yatima yani wanavibe hao, usiku wapo pengine wanamwagilia moyo....napenda kwakweli ila mi sina
Anza wewe kuwa mtu wa faida, utapata wa type yako
Hi rafikiLakini Rafiki, Kila mtu ana aina yake ya maisha inayompa furaha. Mfano mie kukaa kwenye watu wengi siwezi, hata ikiwa ni shughuli, iwe ya muda mfupi, napenda zaidi nnapokua mwenyewe au niwe na mtu tunafurahia vitu Kwa pamoja hata kama ni ujingaujinga.
Pia marafiki/ urafiki hautafutwi, unakuja wenyewe au inatokea tu kulingana na mazingira au vitu vinawaunganisha pamoja. Sioni kama ni tatizo kutokua na marafiki. Cha msingi, waheshimu watu wote. Urafiki majaaliwa.
Kuna nyakati Bora ukae bila Rafiki.
View attachment 2296361
Hii kutumika anakua anakutumiaje? Au mnamaanisha ubinafsi?Sio Mara zote, Kuna wengi watakutumia tu Kwa manufaa yao.
kabisaExactly issue ni pesa kwanza
Pesa sio lazima trust me ila pale kwenye Muonekano huleta Uwezekano ndo pakubwa.Tafuta pesa kwanza wa faida utawapata sana tu
Mkuu habari yako? Vipi Musoma kwema?Nitarudi
Nenda bar kanywe beer utawakuta hukoGood morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapa😔
Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia mbele halafu maisha ni kama nayaacha nyuma, ni kama naishi tofauti na umri wangu. Nimesogea umri wa kuozesha, kuondokewa na wapendwa (waliozeeka) na kukutana na mambo mengi ambayo nadhani yanahitaji watu....ila bahati mbaya sasa hao watu ndio sina.
Natamani kuwa na marafiki kuwa na watu, watu wa faida, watu ambao wanaweza kushare ramani za maisha, watu ambao tunaweza kupanga safari kwenda vituo vya wahitaji tukawape misaada, watu ambao nikihitaji kumwagilia moyo najua wapo, watu ambao nikikwama najua watakuwepo, kina mama wenzangu huwa wana vyama umuhimu wa vyama naujua ila mi hata chama sijawahi kuwa nacho....naishi mwenyewe mwenyewe tu hadi nawaza si nitakosa wa kunizika mie mwisho nizikwe na manispaa.
Wenye marafiki mnawapataje???
Eeh hujaonaga zile jumuiya zenye pisi kali hukosi wapambe nuksi wabovu sana na ndio huwa viherehere kwenye kutuharibia wawekezaji.😂😂😂 Wanashobokeaga wenzao wazuri na kuanzisha ushosti wakihisi watakuwa recognized kuwa na ushosti na pisi kali.Hahahahaaaa.. kwamba watu wanaangalia marafiki warembo tu?
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
I respect your perspective.Fairytale.
Hii kutumika anakua anakutumiaje? Au mnamaanisha ubinafsi?