The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Nipo sawa Rafiki! Uko salama?
Nimesharudi kutoka ziara ya kukagua Jimbo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's not about kukaa milele bali naongelea maisha bila unafiki na kutumiana.Sasa wewe mkuu unataka Rafiki awe equated sawa na Mama yako au Kaka yako.
Tunaposema marafiki we are not aiming to demand as much as from kwa Kaka yangu au Mjomba wangu.
Ndio maama unaona kuwa marafiki kwako sio muhimu sana kwa kuwa tu hawatakaa milele na wewe.
You are too demanding my brother.
Movies can be horror, drama, comedy and fun so it depends on your preferences.Life in the movie
Looking for my type and preferences.Kumbe hata hujaoa?
Na hicho ndio exactly nilichomaanisha, hata kama hautopata mtu sahihi lakini watoto wako siku zote watakuwa wa kwako na hawatokuacha. kama utakuwa na bahati ya kupata mtu sahihi then that will be more than heaven on earth.Mkuu Billy Butcher asante sana umefafanua vizuri na umeniongezea maarifa.
Wengi hatujui wakati mwengine hata ndugu wa damu hao siyo rafiki sahihi inabidi rafiki wa kweli watokane na kiuno cha muhusika.
Say no more. naja pm nakupatia rafiki mzuri ambaye ataungana nasi kwenye threesomesUnainjoi vipi sasa huna hata rafiki wa kupiga nae kitu cha 3 samu
Wewe unatoa alafu wenzako kazi yao kula tu na utaendelea kutoa huku ukiumia sababu unaogopa kuwapoteza.Njia ya kupata marafiki saidia vitu au kitu kwa kadri unavyoweza sio usaidie hela tu hata ushauri...
Tatua changamoto zinawakabili jamii yako ya karibu kwa namna utakavyojaaliwa...
ukiwa mtu wa kutoa bila kujali unapata nini utapata marafiki wengi wabaya na wazuri, unachotakiwa kufanya ni hv,
Wale wazuri wachache unawaweka karibu, wale marafiki wabaya unawaweka mbali na ww bila ya kuwaambia..
Ukiendelea na hyo cycle utajikuta unapata marafiki wengi ndani ya mfupi kaz yako itakuwa moja kuwapunguza na kuwaongeza kwa kadri ya matarajio...
NB: Principle ya urafiki ni kutoa(GIVING) without expecting anything in return, ukifanikiwa utaanza kupokea kutoka kwao.
UCHOYO NA URAFIKI HAVIKAI PAMOJA.
Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
Mekusoma vizuri kiongozi.Ubinafsi Meneja wangu, yaani tunakua na kitu ambacho mie najua ni urafiki, kumbe kwako wewe unanichukulia kama mtu ambae naweza tu kukusaidia unapokua na uhitaji.
Na Mara nyingi itakua upande mmoja, utataka au utapenda unufaike wewe tu lakini ikija kwangu haujali Wala kuthamini chochote chenye maslahi kwangu.
Kwa uchache ni hayo tu Meneja.
Niko sawa rafiki. Basi tupange tukanywe wine zetu. Jumapili nilienda kile kijiwe cha wineNipo sawa Rafiki! Uko salama?
Nimesharudi kutoka ziara ya kukagua Jimbo.
Huku kwema sana tunashukuru MunguMkuu habari yako? Vipi Musoma kwema?
Watoto pamoja na ndugu wa damu ndio unatakiwa kujenga nao bond, sio unakuwa na watoto wako tu unakuwa huna habari na ndugu. Nimejifunza mengi kwa hawa the so called marafiki, wengi wana unafiki mwingi tu. Ukipata janga la muda mrefu ndio utajua umuhimu wa ndugu. Ndio utakuwa nao kwa shida na raha. Ndio wanaweza kukesha na wewe ukiwa unaumwa, rafiki atakuja kusalimia tu na kuondoka.Na hicho ndio exactly nilichomaanisha, hata kama hautopata mtu sahihi lakini watoto wako siku zote watakuwa wa kwako na hawatokuacha. kama utakuwa na bahati ya kupata mtu sahihi then that will be more than heaven on earth.
Naamini wanawake wanaojitambua bado wapo hapa duniani ila kuwapata ndio kazi. Only the lucky few.
Kwasababu we kunguru[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila sehemu ninayoenda sikosi wana [emoji3]
Niongee na watu sio 😂😂😂Sasa PM umefunga mkongwe mwenzangu, utatupataje Marafiki? Fungua PM kabla ya kufungua moyo...nimetuma PM haitoki
Tatizo wa kukutana nao bar wanakuaga watongozaji tu....mi umri wa kutongozwa ushapitaNenda bar kanywe beer utawakuta huko
Majirani naona siwawezi 😂😂😂 yani ni waswazi sana at least nilimzoea mmoja huyo ndio hata taarifa za misiba mtaani ananiambia siku moja house girl akamwambia dada kasema ( mimi sasa) umemwambia mi nna bwana....ila kiukweli sikusema.Urafiki una gharama sana mkuu, Usihofie kuzikwa na manispaa ila kama unahitaji mtu wa kubadilishana nae mawazo basi anzia hapo hapo na kwenye majirani zako chagua mmoja ambae mnaendana nae kinamna fulani, Kimawazo,Kitabia,Kimaisha.
Inabidi nijitafakari 🤣🤣🤣Hahahahaaaa.. kwamba watu wanaangalia marafiki warembo tu?
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Naombeni location nije niwapige hata picha....😔😔😔Niko sawa rafiki. Basi tupange tukanywe wine zetu. Jumapili nilienda kile kijiwe cha wine
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app