Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

Ni kweli kabisaaaaaa
 
Inaumiza kumpoteza rafiki
 
Good morning jf....
Tusio na marafiki tukutane hapaπŸ˜”

Kuna hili swala nimekua nikijiuliza hivi karibuni, baada ya kuona sasa uzee umeanza kupiga hodi. Najiona umri umetangulia
Huu ni mtego kuna marafiki ni ngumu sana kuwaelewa yani wanakuwa wabinafsi hata upate shida hawezi kuku saidia. Kuna wale wa damu ambaoo sijui nisemeje mimi nina marafiki wa 3. ila the best ni mmoja. wengine wameanza kupotea mmoja mmoja
 
Ndege wanaofanana mabawa ndo wanaoruka pamoja ,,kama ww mzee Wa tungi tafuta tungi mwenzio ndo mtaelewana ,,kama wewe ni Wa ibada also mtafute popote alipo ili mwende sawa..
 
.
Ajifanyiaye marafiki wengi ni kwa maangamizi yake mwenyewe; Lakini yuko rafiki aambatanaye na mtu kuliko ndugu.
.
Marafiki wa mchongo ambao ukiwa na kitu mnakuwa wote ila ukiwa na shida hawakusaidii wako wengi tu ila achana nao.
.
Kupata rafiki wa kweli mmoja, kiukweli ni ngumu, itakuchukua muda sana na kujitoa kweli kweli. Pamoja na yote hayo unaweza usipate.
 
hivi kwa nini watu wanaogopa kuzikwa na manispaa?
Hawana simile hao sasa we kufa wakuzike hao kashimo kafupii mguu unachomoza nje na hawajali wala nini hakuna hata wa kukulilia jamaniiiii mume wanguuu hakuna hiyo hapo wanaume wanapiga chepe tu wakimaliza wanapanda kwenye lori lao isuzu waleeeee huku washapokea aftatu zao kibindoni we unataka?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unazikwa mguu umechomoza 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Shida inakuja unamuona ni rafki, umempokea kwa moyo mmoja, upo tayari kujitoa kwake kuishi vizuri pamoja na kusaidiana lkn anakuendea kinyume!
 
Kwani Mimi umeniondoa kwenye friend zone?
 
Sasa wee umekufa ukililiwa unajua? Mie wala hilo sio noma kabisa kwanza atakuzika wanatpoteza muda tuu watuoe mwili wangu kwa bahari yaishe
 
Njoo uwe rafiki yangu ila mi simwagilii moyo ila napenda kutoka
 
Sijui kwa sababu ya umri rafiki wote tumekuwa pamoja tumepoteana wako mikoa mbalimbali,
Muda mwingi nipo busy na ratiba za kazi mpaka naboreka,nikamuua kujiunga kwaya walau nipate muda wa kusocialize huko nako n majungu matupu plus kuchunguzana ,nmeamini marafiki wa kweli n wanywaji wa pombe tu,trust me hivi vinajifanya vilokole vipuuzi sana kmmk.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…