Ambao mna marafiki huwa mnawapataje?

Marafiki hawatafutwi hivyo wewe ukitaka kuamini rafiki siku upate tatizo kama atakusaidia.Waswahili wanasema Ndege wafananao ndio huruka pamoja"Marafiki wengine matatizo yao tu ila unapokua na shida hakusaidii hivyo kuwa makini unaweza sema rafiki kumbe adui anakuombea uporomoke kiuchumi.
 
Tumia njia kama hizi



Hata mimi nilikumbwa na hali kama yako kwa kipindi cha miezi 6. Nilipoanza kusali Jumuiya na siku moja wakaja kusali kwangu yaani nilipata marafiki wengi mpaka wakaniunganisha kwenye group lao la whatsup

 
 
 
Kwa nini usitumie jf kama chanzo cha kupata rafiki? Angalau umeshasema aina ya rafiki unayetaka (maandishi meusi). Unachotakiwa kusema anayekidhi hivyo vigezo tuwasiliane na utapata wengi tu. Sijui vikoba etc unapoteza muda tu. Watu wameoana kupitia jf, sembuse urafiki?
 
Evelyn Salt kuna ujumbe wako PM naomba ufungue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…