sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 5,203
- 13,364
😀🏃Usijitetee wewe!
😀🏃Usijitetee wewe!
Nilijinyea haswaa!! Mzigo wakutosha!Sasa hizo c story za zamani, kwan ww Zaman ulipokuwa Mtoto ulikuwa hujikojolei?
Duh!!Mkuu red black mwambieni moderator anipe cheo cha Jf expert member mimi siyo mgeji humu I was living dormant since 2012 kama observer tu
Andika mke wako! Sio kujichetua hapa ili utuzoee😅
Ni mke wa jirani yangu kweli tenaAndika mke wako! Sio kujichetua hapa ili utuzoee😅
Unataka uruke stage eeh komaa komaa kwanza utapata tu!Mkuu red black mwambieni moderator anipe cheo cha Jf expert member mimi siyo mgeji humu I was living dormant since 2012 kama observer tu
Nyooh😂Ni mke wa jirani yangu kweli tena
Sasa c ndo ili muongee muda mrefuNilijinyea haswaa!! Mzigo wakutosha!
Ila sasa ndio nimsimulie mpenzi wangu?
Sina huo muda aisee!🫢Sasa c ndo ili muongee muda mrefu
HongeraSina huo muda aisee!🫢
Yanini sasa?Hongera
Wa kutokuwa na muda wa kupoteza kwenye mahusianoYanini sasa?
Wewe ni mgeni kwenye mahusiano?Ambao mpo kwenye mahusiano mnavyo wasiliana kila siku huwa mnaongea nini ??
Umri huu nianze story za kishamba hizo ili nigundue nini?Wa kutokuwa na muda wa kupoteza kwenye mahusiano
Mpaka unawaza c bora ningelala tuu 😂Umri huu nianze story z akishamba hizo ili nigundue nini?
Ndio yale mnaanza vizuri tu mwishoni mnakatiana cm kwa ugomvi lol!