Ambao mpo kwenye mahusiano mnavyowasiliana kila siku huwa mnaongea nini?

Tunajuliana hali (uliamkaje) maana mimi siamki mapema zaidi yake.

Tunatumiana reels, memes, umbea, siasa, Tunadiscuss mambo ya home, watoto, majukumu, projects updates, vichekesho, flirting, venting sessions etc.

Na usiku muda wa kula story kama zote, ubishi sasa!

Yah hivo.

NB: Mawasiliano kwenye mahusiano/ndoa yanashikiliwa na mwanaume, kama mwanaume hataki/hawezi/ he does not let his guard down… mwanamke hamna kitu utafanya kumfanya mwanaume awasiliane….
 
Umenifunza jambo hapa mama’ake!
 
Me wa kwangu Huwa anapenda kunipa umbea tu, nikigoma kumskiliza ananuna Hadi nikubali kumskiliza[emoji3].

Sio maneno yangu ni maneno ya jirani yangu
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom