Ambao mpo kwenye mahusiano mnavyowasiliana kila siku huwa mnaongea nini?

Sio kwenye mapenzi Tu hata urafiki WA kawaida,kuna huyo rafiki yangu Wa chuo,Yaani mpaka watu walikua wanatuuliza Huwa tunaongea nini🀣🀣🀣🀣🀣
Ni 24hrs/7 tunaongea Tu huwezi kutukuta tumenyamaza,tukiwa tunatembea story zinanoga tunasimama tunaongea weee ndo tunaendelea na safari hapo tunalala wote tunaamka wote,Yaani chuo tunaongea,njiani tunaongea,nyumbani tunaongeaπŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…