Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

1. Dark skin, Black Americans typically.
2. Sikulia kisa penzi lake tamu, hapana alinikosea totally.
3. Incest, Navutiwa kimapenzi na kaka angu, ni mtoto wa Baba Mdogo.(Msinichambe au kunisema nina Pumu kali sana Leo.)

😂😂😂
 
1. Dark skin, Black Americans typically.
Kheeeee 😳😳😳 siyo mwenye nuru na rangi ya mtume tena?
2. Sikulia kisa penzi lake tamu, hapana alinikosea totally.
Oooh, alikufanyia nini?
3. Incest, Navutiwa kimapenzi na kaka angu, ni mtoto wa Baba Mdogo.(Msinichambe au kunisema nina Pumu kali sana Leo.)
😂😂😂


ungekua hauna pumu kali ningekuuliza maswali, ila subiri upone kwanza.
 
Nyoko zako ndio nini kunichunia namna hiyo mpaka nahangaika kukusaka🥺
Njoo love na hii baridi nakubembeleza hadi unabembelezeka unaachia kila kitu🤣🤣
😹😹😹 Sijakuchunia laaziz 😘

Wapi huko kuna baridi mi niko hapa nasikia joto nimeachia kitumbua kipigwe kiyoyozi kimenuna balaa..!! 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…