Ambaye hajalala tupige stori.

Haya Wanga wenzangu !
Kumekucha !
Niteshift at work ! Wale tuliokua tunawanga usiku wa jana
- Matumbo
- Mugglin
- Mwali
- Moshe Dayan
- Husninyo
- Kaizer
Haya amkeni kumekucha !
Leteni story !
Tuendeleze kuwanga .

andaa ungo, leo nataka niwapeleke nigeria.
 
Ila rock city leo baridi kinoma!
 
kiingilio shing ngapi apa?
Karibu Deskmate, hakuna cha kiingilio, contribution ni story tu.
Najua kwa ujuzi wako wa mastory ya kiukweli, by the time the sun rises
wote tutakua na deni lako. lol
 
Umemuona Kabakabana? yuko huko alikua amepanga kupika dagaa leo.

Aah,huyu nimemvizia pale kona ya bwiru hakutokea nikaambiwa amekimbilia bugarika!
 
andaa ungo, leo nataka niwapeleke nigeria.

Duh!
Sijaonekana kwenye list na namshukuru MUNGU haya elekeeni Nigeria!
Mkirudi mtatujuza ambao hawajafaa kwenda huko kilichojiri!
Ameeeeen!!
 
Duh!
Sijaonekana kwenye list na namshukuru MUNGU haya elekeeni Nigeria!
Mkirudi mtatujuza ambao hawajafaa kwenda huko kilichojiri!
Ameeeeen!!

hajakutaja kwa sababu anajua kuwa tangu uende jana bado haujarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…