klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
kiingilio shing ngapi apa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Wanga wenzangu !
Kumekucha !
Niteshift at work ! Wale tuliokua tunawanga usiku wa jana
- Matumbo
- Mugglin
- Mwali
- Moshe Dayan
- Husninyo
- Kaizer
Haya amkeni kumekucha !
Leteni story !
Tuendeleze kuwanga .
kiingilio shing ngapi apa?
Karibu Deskmate, hakuna cha kiingilio, contribution ni story tu.kiingilio shing ngapi apa?
Oya njaa imenikamata. Wait nipate kwanza menu ndo 2wange fresh. Karbuni Savannah Lounge
Umemuona Kabakabana? yuko huko alikua amepanga kupika dagaa leo.Ila rock city leo baridi kinoma!
kiingilio shing ngapi apa?
andaa ungo, leo nataka niwapeleke nigeria.
hutakiwi kuwa huko...
Mbona umevaa nguo za kulalia bana?Kabadilishe!
Vizee utawajua tu, sisi wengine tumezaliwa enzi za mwinyi bana huyo nyerere tumemuona kwenye dokumentari tushilingi ya nyerere katikati ina mwenge.
nije humu? Okay ngoja nije. Si tutakuwa mi nawe mpaka asubuh kwa pm?
Umemuona Kabakabana? yuko huko alikua amepanga kupika dagaa leo.
Vizee utawajua tu, sisi wengine tumezaliwa enzi za mwinyi bana huyo nyerere tumemuona kwenye dokumentari tu
andaa ungo, leo nataka niwapeleke nigeria.
kwa pm unamaanisha kwa prime minister? Kwani we mtoto wa waziri?
nimevaa suti niliyozaliwa nayo.
Duh!
Sijaonekana kwenye list na namshukuru MUNGU haya elekeeni Nigeria!
Mkirudi mtatujuza ambao hawajafaa kwenda huko kilichojiri!
Ameeeeen!!
Hatujamaliza kucheza mchezo wa baba na mama. Shem mbona unaweka kauzibeowkeey! Kakojoe ukalale.