Ambaye hajalala tupige stori.

Duh!
Sijaonekana kwenye list na namshukuru MUNGU haya elekeeni Nigeria!
Mkirudi mtatujuza ambao hawajafaa kwenda huko kilichojiri!
Ameeeeen!!

siamini na wewe mwanga mwenzetu. Jiandae, wewe tutakupa lift hadi sumbawanga.
 
Halafu nasikia harufu ya bhange humu,nani anastua?
 
siamini na wewe mwanga mwenzetu. Jiandae, wewe tutakupa lift hadi sumbawanga.

Mwenetu Husninyo!
Ktk hizo anga sikamatiki ng'o!

Majira haya nipo na Kabakabana!
Tupo kwenye anga ya Kimataifa!
 
Mambo gani tena haya jamani? hivi mmeshindwa kabisa kukaa kistaarabu???

dah! I'm sorry cousin, kuna mtu alininyang'anya ustaarabu. Ngoja nimwambie anirudishie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…