Ambaye hajalala tupige stori.

dah! I'm sorry cousin, kuna mtu alininyang'anya ustaarabu. Ngoja nimwambie anirudishie.
Then please, acha utani na bodiguard. Mbwa akichezea ngozi muda mrefu mwishowe huila (source: Kongosho)
 
Mbona anakukana night hii yote?
Kasema nenda naye PM tafadhali Mwali!
Hawezi kunikana, mwenyewe anajua...
Mwambie nitamwandikia kesho mida ya supu,
kwa sasa aenjoy outing yake na wewe.
 
unataka bhange masala au kavu?
Kwani nimesema utembezee this way?
Hivi mtu akisha vuta judgement inaenda wapi?
Umeona Mwali ni mtu wakuvuta bhange?
Au ndio unataka kunifundisha leo?
 
Kwani nimesema utembezee this way?
Hivi mtu akisha vuta judgement inaenda wapi?
Umeona Mwali ni mtu wakuvuta bhange?
Au ndio unataka kunifundisha leo?

yep ili hayo macho yako yalegee vizuri uvue na huo ushungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…