klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Ndio namalizia magazijuto apaHome work yako umeifanya leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio namalizia magazijuto apaHome work yako umeifanya leo?
Kumbe ni wewe? tembeza basi na wengine wafaidi...ni mimi,vp nikupe kitu cha ara chuga????
Hyo itakuwa ni bange imepgwa mix na kinyesi cha bnadamu
hakikisha ipo full tank.
Msalimie, mwambie 'swiry' wake anamsalimia toka Ushongo Mabaoni...
Then please, acha utani na bodiguard. Mbwa akichezea ngozi muda mrefu mwishowe huila (source: Kongosho)dah! I'm sorry cousin, kuna mtu alininyang'anya ustaarabu. Ngoja nimwambie anirudishie.
Mwenetu Husninyo!
Ktk hizo anga sikamatiki ng'o!
Majira haya nipo na Kabakabana!
Tupo kwenye anga ya Kimataifa!
Kumbe ni wewe? tembeza basi na wengine wafaidi...
Ndio namalizia magazijuto apa
Hawezi kunikana, mwenyewe anajua...Mbona anakukana night hii yote?
Kasema nenda naye PM tafadhali Mwali!
ile iliyovundikwa kwenye choo cha public tena
njoeni niwapulizie unyunyu msije mkashindwa kurudi.
Ndio namalizia magazijuto apa
Kwani nimesema utembezee this way?unataka bhange masala au kavu?
njoeni niwapulizie unyunyu msije mkashindwa kurudi.
mzoefu
bila wasi. Kuna jingine?
Kwani nimesema utembezee this way?
Hivi mtu akisha vuta judgement inaenda wapi?
Umeona Mwali ni mtu wakuvuta bhange?
Au ndio unataka kunifundisha leo?
Sisi magenius ni multi task mkuu. Mkono mmoja JF mkono mmoja nakokotoa logarism bila kalkuletamagazijuto ya JF?