Wengi wenu humu mngekuwa jela kama serikali ingeamua kumulika VIFIRO mnavyopeana chumbani on a daily basis.
Hapa mmejificha huku mnachungulia kwa jicho la kengeza.
Tukianza kukagua marinda ya watu humu, asilimia sitini wote wana pancha.
Kama kati ya watu wanne, mmoja hana marinda, maana yake watanzania milioni 15 kati ya 60 marinda yao yapo rehani.
Hawa waliotiwa hatiani ni sampo ndogo tu ambayo imechagizwa na propaganda za kisiasa na intelijensia ya kuharibu "makini" za watu (focus).
Hakuna Mungu, acha uzobaAcha kuwatetea hao firauni.. Mungu akileta moto kama Sodoma na Gomora, utateketea hata wewe usiyehusika.. Miili ni yao.. Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!
Lisu yupo atawatetea!
Si wale mabeberu wake wanahitaji sana watu kama..
Awww! Ameeen [emoji179]
[emoji120]
Acha kuwatetea hao firauni.. Mungu akileta moto kama Sodoma na Gomora, utateketea hata wewe usiyehusika.. Miili ni yao.. Ila vitendo wanavyofanya vinahatarisha hata usalawa wako, wewe usiyehusika!
9/15 Gooooood. By Mwl KashashaKwanza yeyote yule anaefirwa huwa hawezi kazi ngumu, hivyo taifa kama taifa linakuwa tayari limeshapoteza nguvu kazi, kiasi ambacho wakihitajika mashababi kwa ajili ya kutetea taifa huyo tayari ameshakosa sifa. Pili mfirwaji hafiruki, na mwanzoni anachukulia kawaida lakini mazoea hujenga tabia na mwishowe akishazoea kabisa hawezi kuacha ni sawa na watumiaji wa madawa ya kulevya jinsi walivyo, siku akikosa wa kumfira huwa hayuko sawa.
Kwako mwalim kashasha...
Oyaa! [emoji38][emoji38][emoji38]9/15 kweli? Ongeza bana atleast 12, hizo 3 kwa kufuta futa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]9/15 Gooooood. By Mwl Kashasha
Nilishakwambia usilale kwenye kipindi changu. Kukusaidia tu, conclusion yako imemzungumzia mfirwaji pekee haijamuongelea mfiraji kabisa. Hapo ndipo nilipokulima hizo 6.Oyaa! [emoji38][emoji38][emoji38]9/15 kweli? Ongeza bana atleast 12, hizo 3 kwa kufuta futa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
LaanakhumTundu lissu ni mpango wa mungu
Akishinda tu urais ushoga ruksa
Chakula cha mume wangu kipenzikumbe na wewe ni chakula? ok sawa
kwa hiyo mahakama ingeahirishwa mpaka uchaguzi uishe?Why kipindi cha uchaguzi ndo hukumu itoke??
Mwijaku anahukumiwa lini??
Wanataka mseme wapate cha kusema kwenye majukwaaWhy kipindi cha uchaguzi ndo hukumu itoke??
Mwijaku anahukumiwa lini??
acha wajuba wakakonge nafsiiiKumpeleka James delicious segedance Ni kumuongezea matatizo [emoji2]
Hawatomwacha salama miaka 5 lazima awe mke wa nyampala huko kati
Mtu mwili wake mwenyewe kaamua kuingiliwa/ kuingilia bila shuruti yeyote chumbani kwao kwanini serikali iingilie?
Sheria ipo wazi,miaka 30,hakuna fine,fine zimetoka wapi hapa?Mahakama ya Kisutu imemuhukumu Msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama 'Amber Rutty' na Mpenzi wake Said Bakary pamoja na James Charles (James Delicious) kulipa faini ya milioni 11 ama kwenda jela miaka mitano, ni baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya "nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli Washitakiwa wote Vijana na wanategemewa, nimeona mshitakiwa wa kwanza anajutia, Mshitakiwa wa pili na tatu ni wakosaji wa kwanza, kutokana na mazingira ya kesi hii adhabu yake ni miaka 30 kila kosa ambapo nikiwafunga mtapotea kabisa"
"Hivyo kwa mazingira mliyoyasema na lengo la adhabu ni kujirudi, mshitakiwa wa kwanza utalipa Mil.3 ama jela miaka 5, wa pili utalipa faini ya Mil.3 ama jela miaka 5 na mshitakiwa wa tatu faini Mil.5 ama jela miaka 5"
Amberutty na wenzake wameshindwa kulipa faini hiyo kwa leo hivyo wamepelekwa Gerezani na endapo watafanikiwa kulipa wataachiwa huru. #MillardAyoUPDATES
Kibongo bongo.Hivi hao waliofungwa nao ni masupa stars?